Home Habari za michezo MWAKA WA MAJANGA KWA NTIBAZONKIZA….NDAYIRAGIJE AMKATAA MCHANA KWEUPEE…

MWAKA WA MAJANGA KWA NTIBAZONKIZA….NDAYIRAGIJE AMKATAA MCHANA KWEUPEE…

Habari za Simba leo

Kocha Mkuu wa Burundi ‘Intamba Mu Rugamba’, Etienne Ndayiragije amemwaacha nje ya kikosi kiungo wa Simba SC, Saido Ntibazonkiza wakati Burundi ikijiandaa kukabiliana na Namibia kwenye michezo ya kufuzu Afcon 2023 nchini Ivory Coast mwezi ujao.

Saido anatuhumiwa kwa utovu wa nidhamu baada ya kukataa kushiriki mchezo wa kirafiki dhidi ya Indonesia mapema mwezi Machi mwaka huu.

Mlinda mlango wa Coastal Union Justin Ndikumana ameitwa.

Kikosi kamili (Vilabu vyao kwenye mabano)

MAGOLIKIPA

R.Onesime (MESSAGER N.) N.Justin (COASTAL UNION) M.Fabien (VIPERS SC.) B.Aladin (R FC WARNANT)

MABEKI

N.DAVID (SOFAPAKA FC) N.Youssuf (OGC NICE) H.Rashid Léon (BUMAMURU FC) M.Weymans (K.BEERSCHOT) M.Collin (AIGLE NOIR) N.ISMAEL (KIYOVU SC) N.Christophe (ACADEMICO DE VISEU) M.Derrick (NKANA FC)

VIUNGO

N.Jospin (YENI MALATYASPOR) J.Liongola (LIERSE SK) I.Donasiyano (Oakland Roots S.C.) M.Emmanuel (KMS Fc) T.Ngabo (UN. KAERJENG 97) B.Abedi (KIYOVU SC) N.Shassir (BANDARI FC) G.Jean Claude (MAGARA Y.B) M.Aaron (GREEN EAGLES)

WASHAMBULIAJI

B.Saido (AEL LIMASSOL) B.Caleb (KAIZER CHIEFS) S.Hussein (AS KIGALI) N.Pacifique (VALOUR FC) M.Aaron (GREEN EAGLES) B.Richard (BUMAMURU) K.Bienvenue (MFK VYOKOV) C.Crispaldinho (RCS Verlaine)

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI NA AZAM FC...PABLO HATAKI MZAHA... AFANYA MAAMUZI MAZITO SIMBA..