Home Habari za michezo LIPANGILE WA KMC AMFUTA MACHOZI MJANE MWENYE WATOTO 19 KUPITIA MERIDIANBET…

LIPANGILE WA KMC AMFUTA MACHOZI MJANE MWENYE WATOTO 19 KUPITIA MERIDIANBET…

Meridianbet

Mama Mjane mwenye familia ya watoto 19 Mary Masanja amejikuta akimtoa machozi Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Matina Nkurlu, baada ya Mjane huyo kusimulia changamoto za kimaisha anazopitia.

Akifanya mazungumzo na mama huyo ambaye Mchezaji wa KMC Sadala Lipangile alimuona na kushauri wadhamini wakuu wa klabu yake kufika na kumshika mkono Mary mkazi wa Marobo, alishindwa kuelezea hisia zake ambapo kwa uchache sana aligusia historia ya maisha yake.

“Nimefiwa na mume wangu muda mrefu na ameniacha na watoto 7 na ndugu 12, maisha ni magumu sana kula kwetu ni kwa shida namshukuru mchezaji huyu na Meridianbet kutukumbuka Mungu awabariki sana.”

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti na michezo ya kasino kama Poker, Aviator, Roulette.

Kwa upande wa Mchezaji husika alisema “Nimeamua kutoa hiki kidogo kwa jamii yangu kwa sababu nimetoka kwenye maisha kama haya hivyo Meridianbet wamekuwa sehemu ya kufanikisha jambo hili nililokuwa natamani kulifanya muda mrefu sana”- Sadala Lipangile.

Nae Mkuu wa Masoko na Mawasiliano Meridianbet Ndugu Matina Nkurlu alisema kwamba “Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni imeamua kuanzisha shindano hilo ili kuwapa nafasi wachezaji kukutana na mashabiki zao kwa kuwapa mkono wa shukrani, ambao baadhi yao ni watu wenye changamoto za kimaisha.

 N.B: Jambo kubwa jingine ni kwamba, Meridianbet wanakupa mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kwa mteja mpya baada ya kuji­sajili. Unasubiri nini ingia mchezoni kufurahia ofa hizi.

SOMA NA HII  KWA SOKA LA SIMBA YA MBRAZILI...IPO SIKU KUNA TIMU ITAKULA 20... HUYO NTIBAZONKIZA KAMA MPYAA...