Home Habari za michezo MERIDIANBET WATEKELEZA AGIZO LA DR SAMIA KWA VITENDO…WASHUSHA NEEMA KWA T.Z.K FC..

MERIDIANBET WATEKELEZA AGIZO LA DR SAMIA KWA VITENDO…WASHUSHA NEEMA KWA T.Z.K FC..

Meridianet

Kampuni ya kubashiri Tanzania Meridianbet wametoa vifaa vya michezo kwa timu ya T.Z.K FC ya mkoani Singida kwaajili ya kuwainua vijana katika sekta ya michezo na kukuza vipaji vyao kwani siku hizi michezo ni ajira.

Meridianbet kwa kuona umuhimu wa michezo na kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wao wameona kuwa watoa jezi za nyumbani na ugenini, soksi, beeps za mazoezi na mipira kwa timu hii ya T.Z.K FC ya Singida ili kuwawezesha kwenye michezo.

Utoaji wa vifaa hivyo vya michezo uliongozwa na Afisa Masoko wa Meridianbet Bwana Matina Nkurlu ambaye ndio hufanikisha kila kitu ikifika suala la kurejesha kwa jamii kwani huhakikisha wenye uhitaji wanajisikia vizuri baada ya kufikiwa na Meridiabet.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali vijana hasa katika soka. Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Baada ya kutoa vifaa hivyo Afisa Masoko alitoa wosia kwa vijana hao kuaza buti kwenye vipajai ambavyo wanavyo kwani ipo siku watafika mahali ambapo walikuwa wakihitaji kufika hata kama sio leo basi kesho kikubwa nidhamu na bidii ndio inahitajika.

Nao T.Z.K FC baada ya kupokea vifaa hivyo vya michezo walishukuru sana na kusema kuwa jambo la Meridianbet kufika pale na kuwapelekea vifaa vya michezo ni neema sana kwao  hivyo watazidi kufanya jitihada kwenye michezo kwani sasa wamepata vitu ambavyo walivihitaji.

 Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Ligi mbalimbali Duniani zimeisha zimebaki chache amabzo nazo pia zinaelekea ukingoni, kwahiyo kama bado unajiuliza utabashiri wapi na kupata pesa suluhisho lipo Meridianbet wajanja wa ODDS KUBWA lakini pia michezo ya kasino ya mtandaoni ni mingi sana kama Aviator, Keno Sloti Pokker na mingine kibao.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

SOMA NA HII  WAARABU 6 WAIMEZEA MATE SIMBA CAF...WAKIKOSWA KOSWA SANA..WATAPANGWA NA HAWA...