Home Habari za michezo SASA UNAWEZA KUANGALIA MKEKA WAKO WA MERIDIANBET ‘LIVE’ NDANI YA MAX 99...

SASA UNAWEZA KUANGALIA MKEKA WAKO WA MERIDIANBET ‘LIVE’ NDANI YA MAX 99 UKIWA MBAGALA….

Meridianbet

Leo hii Meridianbet wamefika Mbagala Rangi 3 na kuzindua duka jipya ambalo ni Max 99 yani unaambiwa ni jipya kabisa ambalo litatumika kwaajili ya kubetia kwa wale ambao hupenda kutembea na mikeka mfukoni. Huku mteja hujisikia tayari ana pesa na ana uhakika wa kuangalia mkeka wake muda wowote hatakama hana bando.

Maax 99 linaenda kuwanufaisha wakazi wa Mbagala na wale ambao wapita njia ambao watahitaji kufanya ubashiri wa mechi mbalimbali kwenye msimu ambao ligi zimerejea. Lakini pia wataweza kucheza michezo ya kasino ya matandaoni kama vile Wild Icy Fruits, Poker, Roullette Aviator na mingine kibao.

Uzinduzi wa duka hilo uliongozwa na Mhariri Mkuu wa Meridianbet Nancy Ingram ambaye alishuhudi mwanzo mwisho furaha ya wakazi wa eneo hilo huku akisema kuwa huu ni mwanzo tuu bado maduka mengine yanakuja maeneo karibu yote Dar es salaam hivyo watu waje kubeti na Meridianbet.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

ODDS KUBWA, machaguo zaidi ya 1000, na michezo ya kasino ipo kibao mchawi ni pesa yako tuu ambayo utatikiwa uiweke ili uweze kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kuwa bingwa ukiwa na Meridianbet. Kwanini wewe ushindwe kukusanya maokoto kwani waoa wana nini?

MeridianbetNa wiki hii ligi zinarejea baada ya mapumziko ya kimataifa na Meridianbet mechi za wiki hii zipo tayari kwa wale watumiaji wa App na USSD, kwa wanaoutumia kitochi Piga, *149*10#. Unachotakiwa ni kutengeneza jamvi lako huku ukisubiri maokoto wikendi hii.

NB: Bado Jakpoti inaendelea ndani ya Meridianbet ambapo kwa dau la shilingi 1000/= unaweza kubashiri mechi zako 13 na ukajipigia mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Biashara asubuhi, mahesabu baadae hivyo Meridianbet wameona waanze mapema kabisa msimu ambapo ligi zinaanza kwani ndio watu wanakuwa wengi na wanahitaji kubeti hivyo ni vizuri kwenda na muda wa uzinduzi. Duka la Mbagala Rangi 3 limezinduliwa na mengine yanakuja.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Wakazi wa Mbagala Rangi 3 wamefurahia sana kuletewa mchezo wa “kindege” ambao unajulikana kama Aviator ambao umekuwa pendwa sana kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kutokana na kuwa rahisi kueleweka.

Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Endelea kutumia kampuni yako pendwa ya Meridianbet kufanya ubashiri wa mechi mbalimbali ambapo baada ya mapumziko ya kimataifa wiki hii ligi mbalimbali zinarejea pale EPL mitanange ipo kibao. LALIGA napo hapatoshi, yaani ukisogea ple BUNDESLIGA ndio hatari, kunako LIGUE 1 noma sana halafu malizia pale SERIE A.

SOMA NA HII  YANGA SASA WAWATAMANI AL AHLY BAADA YA SIMBA KUSHINDWA KUTAMBA