Home Habari za michezo WAHI CHAP PESA ZIPO HUKU NA MERIDIAN BET

WAHI CHAP PESA ZIPO HUKU NA MERIDIAN BET

Nani kukupa pesa Carabao? Je ni Chelsea, Manchester United, City, Westham au West Ham? Ingia Meridianbet sasa ubashiri na mabingwa hawa wa ODDS KUBWA Tanzania.

Manchester United atacheza dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Old Trafford. United ametoka kupata ushindi mwembamba mechi yake ya ligi huku Palace akitoa sare. Walipokutana United alishinda. ODDS ya ushindi kwa mashetani ni 1.64 kwa 4.80. Je mgeni atalipa kisasi? Bashiri mechi hii ndani ya Meridianbet.

Cheza mechi za Jakpoti ukiwa na Meridianbet kwa wale wanaoutumia USSD au kitochi kwa kupiga *149*10# kwa dau la shilingi 1000 tuu uweze kupiga mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia meridianbet na ucheze.

Newcastle United atakuwa nyumbani dhidi ya Manchester City ambaye ni bingwa mtetezi wa Epl. Timu hizi zimekutana kwenye ligi msimu huu huku vijana wa Pep Guardiola wakiwa wanapendelewa kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet wakiwa na ODDS ya 2.33 kwa 2.69. City haijapoteza mechi yoyote mpaka sasa huku Howe akiwa ameshapoteza mechi 3 mpaka sasa. Beti yako unaipeleka wapi?

Chelsea baada ya kupoteza mechi ya ligi iliyopita, atakuwa Stamford Bridge hii leo kukipiga dhidi Brighton ambayo ni ya moto kweli kweli. Msimu uliopita walipokutana The Blues amekufa mechi zote mbili kwenye ligi. Je Pochettino na vijana wake wataweza kutoka kesho mbele ya De Zerbi.?

Brentford ya Thomas Frank itamleta nyumbani Arsenal ya Mikel Arteta. Nyuki kwenye mechi zake sita ameshinda moja pekee huku The Gunners wameshinda nne. Ambaye anapewa nafasi ya kushinda mechi hii ni mgeni akiwa na ODDS ya 2.01 kwa 3.23. Beti yako unaiweka wapi kati ya mechi hizi mbili?

SOMA NA HII  ROBERTINHO ACHIMWA MKWARA MZITO...... KINACHOFANYIKA KWENYE DABI NI ZAIDI YA AFL