Home Habari za michezo MECHI YA YANGA YAAHIRISHWA

MECHI YA YANGA YAAHIRISHWA

Geita vs Yanga

Mchezo wa Kirafiki kati ya Yanga na Mlandege uliopangwa kuchezwa leo saa 03:30 asubuhi huko Avic Town umeahirishwa.

Kwa mujibu wa taarifa Yanga waliomba mchezo huo wa kirafiki lakini kutokana na ratiba ya Mlandege kubana wameamua kutocheza.

SOMA NA HII  YANGA IMEAMUA YASHUSHA STRAIKA LA MAKUNDI CAF