Home Habari za michezo MERIDIANBET WAGAWA REFLECTORS KWA DEREVA BODABODA NA BAJAJI..

MERIDIANBET WAGAWA REFLECTORS KWA DEREVA BODABODA NA BAJAJI..

Meridianbet

Leo hii ikiwa ni Ijumaa, timu nzima ya Meridianbet imefika katika eneo la Kimara na Mbezi na kutoa Reflectors kwa boda boda wa maeneo hayo na bajaji kwaajili ya kurejesha kwa jamii yao.

Kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet imewatembelea madereva bodaboda na bajaji wa maeneo ya Kimara na Mbezi kwaajili ya kutoa reflectors na hii ikiwa ni kawaida yao ambapo mpaka sasa wamewafikia watu wengi wenye uhitaji. Na safari hii waliamua kufika maeneno ya huko Kimara na Mbezi ambapo uhitaji ulikuwa ni mkubwa kutokana na uwingi mkubwa wa watu.

Meridianbet hugusa kila mwenye uhitaji na hufanya kila wawezalo kwa pamoja kuhakikisha kuwa wanatoa kile kidogo kwani watumiaji wa Meridianbet wanatoka kwenye jamii wanazozizunguka.

Reflectors hizo ni kwaajili ya kuimarisha usalama wao wakiwa barabarani hasa wakati huu ambao kuna mvua jijini Dar es salaam, hivyo inakuwa ni rahisi kwa wao kufanya shughuli zao kwa usalama.

Ndugu mteja wa Meridianbet kumbuka pia licha ya kampuni hiyo kurejesha kwenye jamii, wanakuambia hivi usiache kupiga mkwanja na Meridianbet kupitia JACKPOT yao ambayo wanatoa ya shilingi Milioni Mia Mbili 200,000,000 kwa dau lako la 1000, ambapo ukiweza kubashiri mechi zako 13 kwa usahihi basi pesa hiyo ni yako.

MeridianbetBaada ya kupokea Reflectors hizo boda boda wa Kimara na Mbezi waliishukuru sana Meridianbet kwa kuwafikia na kuwaletea vifaa hivyo kwani walikuwa wakivihitaji sana na pia waliwaomba isiwe mwisho kuwatembelea tena kwani uhitaji ni mwingi.

Meridianbet wanatoa ODDS KUBWA na za ushawishi hivyo weka dau lako na ubeti sasa kwani mechi nyingi za Mataifa zinaendelea wikendi hii. Una nafasi kubwa ya kutimiza ndoto yako ukibashiri na meridianbet.

Ujio wa timu nzima ya Meridianbet ulikuwa faraja kwa bodaboda na bajaji wa Kimara na Mbezi kwani macho yao yalijawa furaha sana kuona nao wanakumbukwa kwa namna moja au nyingine.

Wewe pia una nafasi ya kupata faraja ukicheza michezo kibao ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Keno, Wild Icy Fruits na mingine kibao uweze kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia maokoto ya maana.

SOMA NA HII  YANGA YAPEWA SIKU 45 NA FIFA...YATAKIWA KULIPA DENI...ITAFUNGIWA USAJILI MISIMU MITATU