Home Habari za michezo KOCHA WYDAD HALI SI SHWARI TENA

KOCHA WYDAD HALI SI SHWARI TENA

Uongozi wa Klabu ya Wydad Ac ya Morocco muda wowote unaweza kumfuta kazi kocha wao Mkuu Adel Ramzi.

Taarifa inathibitisha kuwa muda wowote kuanzia Sasa na hii ni baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo za makundi katika ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Jwaneng Galaxy na Asec Mimosas,

Uongozi wa Juu wa klabu hiyo Ukiongozwa na Mwenyekiti wao Naciri Umepanga kukutana na Kicha huyo muda wowote kuanzia sasa mara tu timu hiyo itakaporudi Morocco wakitokea Ivory Coast walipopoteza mchezo wao wa pili wa kimataifa dhidi ya Asec Mimosas,

AFL, CAFCL: Klabu ya Wydad Ac imepoteza Michezo 4 mfululizo kwa Ujumla (kimataifa),

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wà klab hiyo Naciri anasema hakuna uwesekano tena wa kupoteza mechi inayofuata dhidi ya Simba,

Inaaminika mchezo ujao wa Wydad Ac dhidi ya Simba Sc tukashuhudia benchi jipya la klabu hiyo likianza kazi.

SOMA NA HII  YUSUPH MHILU:NINAMSHUKURU MUNGU NINAENDELEA VIZURI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here