Home Habari za michezo MASHABIKI WAYDAD WAFUATA NYAYO ZA SIMBA WAMEKIWASHA HUKO HATARI

MASHABIKI WAYDAD WAFUATA NYAYO ZA SIMBA WAMEKIWASHA HUKO HATARI

KOCHA MORROCO AFICHUA MBINU ZA WYDAD...AWAPA MBINU HIZI SIMBA

Mashabiki wa Klab ya Wydad Club ya Morocco wameanza kampeni za kumuondoa madarakani Mwenyekiti wao wa sasa Said Naciri, hii ni baada ya klabu hiyo kutokuwa na mwenendo mzuri kimataifa (CAFCL)

Mpaka sasa klabu ya Wydad imecheza michezo miwili (2) hatua ya Makundi huku ikipoteza yote.

Sasa Mashabiki kindaki ndaki wa klabu hiyo wanataka Mwenyekiti wao ajiuzulu baada ya vipigo viwili walivyopata dhidi ya Asec Mimosas na Jwaneng Galaxy,

Lengo la Mashabiki wa klab hiyo ya WYDAD AC kutaka timu yao ishinde kwenye kuanzia mchezo wao Ujao la sivyo watakinukishaa hatari.

SOMA NA HII  YANGA NA PACOME MPAKA AFCON

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here