Home Habari za michezo ODDS ZA USHINDI KWA ‘GAME’ ZA LEO HIZI HAPA….HAKIKISHA MKEKA WAKO UNASOMA...

ODDS ZA USHINDI KWA ‘GAME’ ZA LEO HIZI HAPA….HAKIKISHA MKEKA WAKO UNASOMA HIVI..

Meridianbet

Ni siku nyingine ya mwezi April huku baadhi ya mechi mbalimbali zikiwa zinaendelea na meridianbet wababe wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa una nafasi yako ya kujipigia mkwanja wa maana endapo utabeti nao mechi za leo.

Ligi kuu za Hispania LALIGA kutakuwa na mchezo mmoja Villarreal atakiwasha dhidi za Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao wamepoteza mchezo wao uliopita.  Mchezo huo utapigwa majira ya saa 4:00 usiku ambapo meridianbet wamempa Atletico nafasi kubwa ya kushinda mechi hii wakiwa na ODDS 2.20 kwa 2.99, huku tofauti za pointi kati yao ni 15. Mara za mwisho Simeone na vijana wake walishinda. Je leo hii wanaweza kushindwa?. Beti  sasa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Kipute cha SERIE A, kama kawaida kutakuwa na mechi za kukata na shoka kabisa Cagliari atakiwasha dhidi ya Hellas Verona katika dimba la Unipol Domus majira ya saa 10:00 jioni na timu hizo zinafatana kwenye msimamo wa ligi yani mmoja wa 15 na mwingine wa 16. Mara ya mwisho walipokutana, Verona alishinda. Je leo hii kwa ODDS hii za 3,52 kwa 2.16 anaweza kuendeleza ubabe. Suka jamvi lako sasa na meridianbet.

Pesa nyingine ipo hapa kwenye mechi ya  Sassuolo Calcio dhidi ya Udinese Calcio huku timu zote zikiwa zinahitaji pointi tatu za maana baada ya kupoteza mechi zao zilizopita. Mechi ya mwisho walipoonana walitoshana nguvu. Mechi hii imepewa ODDS ya 2.84 kwa 2.50. Jisajili hapa.

Lecce uso kwa uso dhidi ya AS Roma ambaye anashikilia nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi yeye akiwa nafasi ya 13. Meridianbet wamempa mwenyeji 4.21 kushinda mechi hii kwa 1.89. Timu zote zimeshinda mechi zao zilizopita. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3?. Tengeneza mkeka wako hapa sasa.

Vinara wa ligi hiyo Inter Milan chini ya Inzagi ambao watakuwa Giuseppe Meazza kusaka pointi tatu za kujiimarisha kileleni dhidi ya Empoli ambao wapo nafasi ya 17 kwenye ligi. Inter amepewa ODDS 1.18 kushinda mechi hii kwa 13.72. Je Milan atashinda mechi hii?

SOMA NA HII  MOSES PHIRI NGOMA NGUMU SIMBA