Home Habari za Simba Leo KOCHA FADLU AMEANZA VIZURI SIMBA

KOCHA FADLU AMEANZA VIZURI SIMBA

Habai za Simba- Fadlu

KOCHA wa Simba Fadlu Davids kwa namna anavyoifundisha timu hiyo, ameanza na msingi wa timu ( eneo la ulinzi ), linaonekana kuimarika / kuboreka, hii itampa leseni ya kushinda mechi tena hadi kwa clean sheet zaidi.

Kocha mzuri kiufundi na ni kiongozi pia, ndio kitu cha pili ambacho nilikuwa nataka kuona staili yake ya ufundishaji ameifanya timu kuwa na Pasi Per Defensive Action ambacho ni Low Number of PPDA ili kupunguza nafasi nyingi ambazo mpinzani atahitaji kuzitengeneza.

Msimu uliopita Simba ilikuwa ni ngumu sana kupata clean sheet katika mechi zao mbalimbali , lakini Fadlu Davids amekuja na silaha / suluhisho katika hilo na mpaka sasa Simba ( inaokota clean sheet) za kutosha aisee, ana game nyingi zinamtazama nafikiri ataboresha zaidi hili na kuwa imara zaidi.

Siamini kama Fadlu Davids kama amelidhika kwa hapa alipofika, lakini bado amefanya kazi nzuri sana ( maybe board room au katika training )? Good coach aisee.

SOMA NA HII  ALIYETEMWA SIMBA ATAMBULISHWA JKT TANZANIA...JOHN BOCCO NI MWANAJESHI