Home Meridianbet FURSA ZA KIBABE ZIPO NA MERIDIANBET NOVEMBA HII….

FURSA ZA KIBABE ZIPO NA MERIDIANBET NOVEMBA HII….

Meridianbet

Je unajua kuwa Mwezi huu Novemba umekuja na fursa nyingi kwako wewe mteja wa Meridianbet?. Fursa hizo ni pamoja na kujishindia Samsung A26 kwenye promosheni kali kabisa ya Jisajili, Wke pesa, Cheza na Ushindi.

Promosheni hii imeanza mwezi huu tarehe 01 na itaenda mpaka 30 Novemba ambapo zaidi ya simu janja aina ya Samsung A26 zitatolewa na Meridianbet kwa wale ambao watakuwa washindi.

Kupitia kampeni hii, Meridianbet inawakaribisha wachezaji kujiunga na ulimwengu wa ushindi. Kinachohitajika ni hatua tatu rahisi tu: Jisajili, weka pesa, na cheza michezo unayoipenda. Iwe unapenda kubashiri mechi za soka, kucheza Aviator, au michezo ya kasino, kila mchezo unakupa nafasi ya kuingia kwenye droo ya ushindi na kuondoka na zawadi ya kifahari.

Na mwezi huu wa Novemba, kampuni hii inazidi kuthibitisha nafasi yake kama kinara wa michezo ya kubashiri kwa kutoa zawadi ya kifaa cha kisasa kitakachowezesha wachezaji wake kuendelea kufurahia michezo wakiwa “online” muda wote.

Chukua simu yako kwenye promosheni ya kibabe ya jisajili, weka pesa cheza na ushide siku ya leo, lakini ongeza mshiko wako kwenye michezo ya kasino kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Wakali hawa wa ubashiri wanasisitiza kuwa droo ya kumpata mshindi itafanyika tarehe 10 Disemba mwaka huu na mshindi atatangazwa siku hiyo hiyo ambayo droo imefanyika ili kuhakikisha kuwa mteja anaondoka na simu yake.

Meridianbet inasisitiza kuwa tiketi za Turbo Cash ni batili na hazitatumika wakati wa promosheni hii, hivyo mshiriki inabidi asubiri mpaka mechi zake zote zlizobashiri zimalizike ndipo aweze kujihesabia kama mshindi.

Kumbuka kuwa dau lako lolote linaweza kukufanya uwe mshindi siku hiyo kwani Meridianbet hawajaweka dau maalumu la wewe kushiriki kwenye promosheni hii. Hivyo changamkia fursa leo.

SOMA NA HII  BETI YAKO UNAMPA NANI? PSG VS REAL MADRID...