admin
ISHU YA MAJEMBE YANAYOTUA AZAM FC IMEKAA NAMNA HII
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utaongeza nyota wawili ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya kuongeza nguvu ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja...
MRITHI WA MIKOBA YA JONAS MKUDE NDANI YA SIMBA HUYU HAPA
KIUNGO Mzawa Said Ndemla amemkosha Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck na kusema eneo la kiungo mkabaji limepata mchezaji mbadala kuelekea kwenye mchezo wa marudiano wa...
YANGA KUMCHOMOA BEKI WA BIASHARA UNITED
BEKI wa kutegemewa ndani ya kikosi cha Biashara United, Abdulmajid Mangalo anayekipiga ndani ya Biashara United anatajwa kuingia rada za Yanga.Beki huyo ambaye ni...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu,Januari 4
BABA WA KAGERE AIBUKA DAR, ATAKA DNA -VIDEO
ANAYESEMEKANAkuwa baba wa nyota wa Klabu ya Simba, Meddie Kagere, Vedasto Katologi ameibuka na kusema yeye ni baba wa nyota huyo. Katologi ameliambia Championi Jumamosikuwa,...
GWAMBINA YAPOTEZA POINTI TATU MBELE YA BIASHARA UNITED
KIKOSI cha Biashara United chenye maskani yake Mara leo Januari 3 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina FC.Ikiwa Uwanja wa Gwambina...
JEMBE LA YANGA MAMBO SAFI
BAADA ya kuenea kwa tetesi nyingi juu ya usajili wa straika mpya wa Yanga, raia wa Congo, ambaye ni mchezaji wa zamani wa timu...
AZAM FC YAGEUZA GIA, SASA NI KWENYE MAPINDUZI
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa akili zao ni kwenye Kombe la Mapinduzi ambalo linatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 5. Kikosi...
CAVAN AKUTANA NA RUNGU LA KUFUNGIWA MECHI TATU NA FA
MSHAMBULIAJI Edinson Cavani anatarajiwa kukosa mechi tatu za Manchester United baada ya kukubali kosa la kutoa kauli inayoonyesha ubaguzi wa rangi. Mkongwe huyo alimuita mmoja...
MAMBO YAWE MAPYA NDANI YA 2021
YALE ambayo yalikuwa ni matatizo kwa mwaka 2020 basi inapaswa yawekwe kando na kutafutiwa majibu yake ndani ya 2021 kwa kuwa sasa ni mwaka...