admin
PABLO ACHARUKA SIMBA…AWATAJA CHAMA NA MORRISON…YANGA WATANGULIA CAF…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti leo Alhamisi.
KISA AZAM TV KUDHAMINI LIGI MIAKA KUMI…RAIS SAMIA ATOA ‘KONGOLE’…AFICHUA ALICHOAMBIWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza Kampuni ya Azam Media kwa kuwa mstari wa mbele, kuhakikisha Soka la Tanzania...
BAADA YA INONGA KUMNYANYASA MAYELE JUZI…MASHABIKI SIMBA WAFANYA YAO HUKO…
Beki wa Kati kutoka DR Congo Henock Inonga Baka ametajwa kuwa mshindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa Mashabiki wa Simba SC kwa mwezi...
PABLO ASHINDWA KUJIZUIA SIMBA…AFUNGUKA KWA ‘HASIRA’ WACHEZAJI WANAVYOMKAMISHA..HAWANA UBORA..
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa mchawi mkubwa wa timu hiyo kushindwa kufanya vyema kwenye michezo mikubwa inatokana na kikosi hicho kutokuwa...
HIVI NDIVYO REAL MADRID WALIVYOIDABISHA MAN CITY NA GUARDIOLA WAKE….YAIKUNG’UTA KIPIGO...
KLABU ya Real Madrid imefanikiwa kutinga katika hatua ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya maarufu kama UEFA baada ya kuitandika klabu ya...
BAADA YA ORLANDO…WAARABU NAO WAMFUATA INONGA….KICHUYA KURUDI SIMBA…STAA WA ULAYA KUTUA...
Pitia ukurasa wa wa mbele wa gazeti la Spot Xtra le leo Alhamis.
SENZO :- SIMBA WANATAKIWA KUSHUKURU KUPATA SARE NA YANGA…LA SIVYO HALI...
YANGA imetoa tamko kwamba bado inajiuliza imewakosaje watani wao Simba katika pambano lao la Kariakoo Dabi juzi Jumamosi, licha ya kukiri pointi moja waliyoipata...
DABI YAMUACHA KANOUTE NA MAJANGA…’KAZI CHAFU’ YA AUCHO YAMUACHA NA KILIO...
KIUNGO wa Simba, Sadio Kanoute alishindwa kuendelea na mechi ya dabi dhidi ya Yanga, baada ya kuchezewa rafu na kiungo, Khalid Aucho na kutolewa...
RUVU SHOOTING vs YANGA …HAKUNA MBABE…MAYELE ‘ACHEZEWA UNDAVA MWINGI’ TENA…ASHINDWA KUTETEMA…
MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Bara, Yanga kwa kutoshana nguvu bila kufungana ndani ya dakika 90.Ulikuwa ni mchezo wa matumizi ya nguvu na...
BAADA YA SIMBA KUKAZIWA NA NAMUNGO JANA….PABLO ASHINDWA KUJIZUIA..AWATAJA WALIO ZINGUA…
Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi kuwa wamefanya makosa ya kiulinzi yaliyoifanya Namungo kupata mabao mepesi katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC...