admin
PAMOJA NA WOTE KUWA WAFUNGAJI HATARI….MPOLE ATABIRIWA MAKUBWA ZAIDI KULIKO MAYELE…
Kocha wa Geita Gold FC, Fred Felix Minziro ameibuka na kusema kuwa Mshambuliaji wa klabu hiyo George Mpole ana nafasi kubwa ya kuwa Mfungaji...
HIZI HAPA REKODI KIBAO AMBAZO LIVERPOOL WALIWEKA JANA BAADA YA KUFUZU...
Klabu ya Liverpool ya England imefuzu fainali ya Ligi ya mabingwa barani ulaya kwa ushindi wa jumla wa mabao 5-2 dhidi ya Villarreal ya...
KISA KUMKABA MAYELE…WASAUZI WATAKA KUMNG’OA INONGA SIMBA…KISINDA AWAGAWA YANGA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumatano.
KUELEKEA MSIMU UJAO…SIMBA KUSAJILI MAPRO SITA WAPYA WA KIGENI….PANGA KUPITA NA...
KATIKA kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara watakachokitumia katika michuano ya kimataifa msimu ujao, Simba SC imepanga kuachana na wachezaji sita wa kigeni mwishoni mwa...
YANGA WAFANYA KUFRU MKATABA MPYA WA MWAMNYETO…APEWA MIAKA MIWILI YENYE MAMILIONI...
NAHODHA na beki wa kati tegemeo ndani ya Yanga, Bakari Mwamnyeto, ameongeza mkataba wa miaka miwili wenye thamani inayotajwa kufikia shilingi milioni 200 kuendelea...
MWINYI ZAHERA AFUNGA MJADALA ISHU YA MAYELE NA INONGA…AIKOSOA YANGA WAZIWAZI….
ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amefunga mjadala wa ubora wa...
KISA DROO NA NAMUNGO…DEWJI ATAKA MASHINE ZA KAZI SIMBA…AWATAJA PHIRI NA...
Pitia kichwa cha habari katika gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatano.
WAKATI TIMU NYINGINE ZIKIPAMBANIA UBINGWA..KUMBE MBEYA CITY MAWAZO YAO YAKO HUKU...
Uongozi wa Klabu ya Mbeya City umesema malengo ni kuona kikosi hicho kinamaliza ndani ya tano bora kwa msimu huu wa 2021/22Maneno hayo yamesemwa...
KAZE : TULITUMIA NGUVU KUBWA SANA KWENYE MECHI DHIDI YA SIMBA…
Vinara wa ligi kuu Tanzania bara (Nbc Premier League 2021/22) klabu ya Yanga wanatarajiwa kushuka kwenye dimba la Lake Tanganyika mnamo May 4 kupambana...
FT: NAMUNGO 2-2 SIMBA ….’PAPATU PAPATU’ ZA KIBU DENIS LEO ZAONEKANA...
KIKOSI cha Namungo leo Mei 3,2022 kimeibana mbavu Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kwa kupata sare ya kufungana mabao 2-2.Ngoma imechezwa Uwanja...