KIUNGO RAYON AWAAGA MASHABIKI RWANDA SASA KUIBUKIA YANGA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu 

MAWAZO YA CHAMA YEYE NI USHINDANI TU

0

CLATOUS Chama, kiungo wa Simba amesema kuwa anaamini ushindani utakuwa mkubwa ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na kila timu kujipanga kupata ushindi.Chama amerejea leo na ndege ya kampuni ya Ethiopia akitokea nchini Zambia ambapo alikuwa kwa ajili ya mapumziko ya lazima yaliyotokana na mlipuko wa Virusi vya Corona. Nyota huyo kipenzi cha mashabiki amesema:-"Ushindani utakuwa mkubwa na kila...

YANGA WADAI WANAISUBIRI SIMBA FA,MSIYEMPENDA KAJA,KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

0

KESHO ndani ya Gazeti la Championi Jumatatu, usipange kukosa nakala yako

KABUNDA AFUNGA BAO LA KIDEO WAKATI YANGA IKILALA KWA MABAO 3-0

0

HASSAN Kabunda, winga wa KMC leo alimaliza msumari wake wa mwisho kwa kumtungua mlinda mlango wa Yanga bao la kideo kwa mpira wa adhabu uliomshinda Metacha Mnata wakati Yanga ikikubali kulala kwa mabao 3-0.Mchezo wa leo wa kirafiki ulichezwa ulichezwa Uwanja wa Uhuru ambapo ushindani ulikuwa mkubwa kwa timu zote mbili.KMC ilianza kuandika bao la kwanza kupitia kwa Sadala...

KIPINDI CHA PILI :YANGA0-3 KMC

0

Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na KMC Uwanja wa Uhuru kwa sasa ni kipindi cha pili.KMC inaongoza kwa mabao 3-0 ambayo yalifungwa na Sadallah Lipangile dakika ya 31, bao la pili lilipachikwa na Charlse Ilanfya dakika ya 45 na bao la tatu lilifungwa na Hassan Kabunda dakika ya 65 kwa mpira wa adhabu.Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mpambano...

HILI NDILO BALAA LA NICOLAS WADADA WA AZAM FC

0

NICOLAS Wadada, beki wa Azam FC ni mhimili ndani ya kikosi hicho kutokana na uwezo wake anaonyesha ndani ya uwanja kwa kuzuia, kufunga na kutengeneza mashambulizi.Raia huyo wa Uganda anakipiga pia ndani ya timu ya Taifa ya Uganda amekuwa ni injini ndani ya klabu hiyo ambapo kwa sasa yupo zake Uganda alikoibukia huko baada ya ligi kusimamishwa Machi 17...

HIKI HAPA KIKOSI KITAKACHOANZA MCHEZO KATI YA YANGA NA KMC UWANJA WA UHURU

0

KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya KMC mchezo wa kirafiki Uwanja wa Uhuru

FILAMU YA KOCHA WA YANGA EYMAEL KUTUA BONGO BALAA, MKWANJA MREFU WAKATIKA

0

IMEELEZWA kuwa gharama ambazo amezitumia Kocha Mkuu wa Yanga kwa ajili ya tiketi mpaka sasa licha ya kutotua nchini ni zaidi ya milioni 40 zimeyeyuka kwa ajili gharama za tiketi pamoja na matumizi mengine.Eymael kwa sasa yupo zake nchini Ubelgiji ambako alikwenda kwa ajili ya mapumziko baada ya Serikali kusimamisha masuala ya michezo Machi 17 kutokana na janga la...

BREAKING: CHAMA ATIA TIMU BONGO

0

KIUNGO wa Simba, Clatous Chota Chama amewasili nchini leo akitokea nchini Zambia alikokuwa kwa ajili ya mapumziko ya lazima yaliyotokana na janga la Virusi vya Corona.Machi 17 Serikali ilisitisha masuala ya michezo kuendelea kufanyika nchini jambo lililowapa nafasi baadhi ya wachezaji wa Simba akiwemo Chama kuondoka.Kwa sasa Serikali imeruhusu masuala ya michezo kuendelea nchini huku wakiwataka wadau kuzingatia kuendelea...

YANGA INA KAZI NZITO LEO UHURU MBELE YA KMC, MASHABIKI WAKUMBUSHWA KUHUSU BARAKOA

0

LEO majira ya saa 10:00 jioni, Uwanja wa Uhuru kutakuwa na pambano la kukata na shoka kati ya Yanga na KMC ikiwa ni mchezo wa kirafiki.Mchezo wa leo ni maalumu kwa timu zote kuangalia utimamu wa wachezaji wao baada ya kukaa tangu Machi 17 bila mechi ya ushindani baada ya Serikali kusimamisha masuala ya michezo kutokana na maambukizi ya...