SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KUREJEA LIGI

0

RAIS wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amesema idadi ya wagonjwa wa Virusi vya Corona katika vituo vilivyotengwa imepungua sana, hivyo anaangalia wiki inayoanza kesho, kama hali itaendelea kuwa hivi hivi, ataamua kufungua vyuo na kuruhusu michezo iendelee.JPM amesema kuwa michezo ni sehemu ya burudani kwa Watanzania.Magufuli, amezungumza haya mchana huu, kutokea kanisa la KKKT, ushirika wa Chato, Mkoani...

HUYU HAPA ANATWAA MIKOBA YA LUC EYMAEL WA YANGA

0

MABOSI wa Klabu ya Yanga wamechungulia mbali na kuona ligi inaweza kurejea hivi karibuni lakini bila ya kuwa na makocha wao wawili, Kocha Mkuu Luc Eymael na yule wa viungo, Riedoh Berdien raia wa Afrika Kusini.Sasa kwa ajili ya kuweka mipango sawa bila ya kutetereka, mabosi hao wa Yanga wameamua kumuachia mikoba kocha msaidizi, Charles Mkwasa kuwa ndiye awe...

GUARDIOLA ANAREJEA BARCELONA

0

WINGA wa zamani wa Barcelona,  Trevor Sinclair amesema kuwa huenda kocha huyo akarejea ndani ya klabu hiyo.Guardiola yupo zake ndani ya Manchester City na aliinoa Barcelona 2008 mpaka 2012 na aliweza kutwaa mataji kadhaa ikiwa ni pamoja na lile la Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mkataba wake na City unatarajiwa kumeguka mwaka 2021 inaelezwa kuwa anataka kusepa.Winga huyo amesema ishu ya...

MAPROO WANNE, MITAMBO YA MABAO NDANI YA YANGA PANGA LINAWAHUSU

0

INAELEZWA kuwa nyota wanne wa Klabu ya Yanga panga linawahusu msimu ujao kutokana na kushindwa kufiti ndani ya kikosi cha kwanza.Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu Luc Eymael ikiwa imecheza mechi 27 ipo nafasi ya tatu na kibindoni ina pointi zake 51 ipo kwenye mpango wa kuboresha kikosi chao msimu ujao.Habari zinaeleza kuwa miongoni mwa wageni ambao hawapo kwenye...

BUNDESLIGA YAREJEA KWA KISHINDO, HAALAD AANZA YAKE

0

LIGI Kuu ya nchini Ujerumani maarufu kama Bundesliga imerejea jana rasmi ambapo kazi ilianza kwa mechi sita kupigwa kwenye viwanja tofauti huku mamilioni ya mashabiki wakiifuatilia Ligi hiyo.Ligi hiyo ilisimama tangu Machi mwaka huu kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona ambavyo vinaivurugavuruga dunia na mechi zinachezwa bila uwepo wa mashabiki kutokana na kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili 

MAMBO MAGUMU KWA SAID NDEMLA NDANI YA SIMBA

0

SAID Ndemla nyota wa Klabu ya Simba msimu huu 2019/20 mambo yamekuwa magumu kwake kutokana na kutokuwa na nafasi kikosi cha kwanza.Simba ikiwa imecheza mechi 28 ambazo ni dakika 2,520 amecheza mechi tatu pekee ambazo ni dakika 270.Ndemla amekosekana kwenye mechi 25 ambazo ni dakika 2,250 ndani ya Uwanja akijenga ushkaji na benchi.Chini ya Kocha Mkuu, Patrick Aussems amecheza...

MKE AMTWANGIA SIMU MCHEZAJI AKIWA UWANJANI

0

PETER Crouch nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya England amesema kuwa mkewe alikuwa hapendi kuskia kitu kinaitwa mpira wa miguu. Nyota huyo aliyekipiga pia ndani ya Klabu za Liverpool na Stoke City ambaye sifa yake kubwa ilikuwa ni urefu na mbaya kumalizia mipira ya juu anasema kuwa aliwahi kupigiwa simu na mkewe kabla ya mechi kuanza.Abbey Clancy ambaye...

NYOTA HAWA WATANO WAKUBALI KUMWAGA WINO JUMLAJUMLA SIMBA

0

WACHEZAJI hawa watano wamekubali jumlajumla kutua ndani ya Klabu ya Simba kukipiga msimu ujao iwapo utaratibu utafuatwa:- Jemmy Mumbere yeye ni kiungo wa AS Vita amesema kuwa Simba ni timu kubwa iwapo masuala yatakwenda sawa hana hiyana atamwaga wino na kazi atapiga.Justin Shonga, yeye ni winga anakipiga ndani ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini amesema kuwa ikiwa ni kweli...

NIYONZIMA ATUMA OMBI ZITO,KESHO NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI

0

KESHO ndani ya SPOTIXTRA Jumapili