ISHU YA NDEMLA KWENDA YANGA: KOCHA SVEN AMALIZA UBISHI

0

HUENDA mashabiki wa Yanga wakasonya mitaani, huku wenzao wa Simba wakachekelea baada ya Kocha Sven Vanderbroeck kumaliza ubishi juu ya kiungo fundi wa mpira aliyepo kwenye kikosi cha Msimbazi, Said Ndemla anayetajwa kuwindwa Jangwani kwa mara nyingine.Kocha Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi, amekata mzizi wa fitina wa kufichua kutokuwepo kwa uwezekano wa Ndemla kutemwa na timu hiyo katika dirisha...

LIVERPOOL YAHAHA KUMPATA MBADALA WA MANE IWAPO ATASEPA

0

KYLIAN Mbappe nyota anayekipiga ndani ya PSG kwa sasa amewekwa kwenye mpango wa kutua ndani ya Liverpool iwapo wataikosa saini ya nyota wao Sadio Mane msimu ujao.Raia wa Senegal Mane ambaye ni nyota ndani ya Kikosi cha Liverpool inaelezwa kuwa anahitajika ndani ya kikosi cha Real Madrid wanaopambana kuipata saini yake.Zinadine Zidane ambaye ni Kocha Mkuu wa Real Madrid...

KISA CHAMA, SIMBA KUISHTAKI YANGA

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo kwenye mpango wa kuwashtaki Yanga kutokana na suala lao la kutaka kuipata saini ya nyota wao Clataos Chama raia wa Zambia.Yanga imeripotiwa kuwa kuanza kufanya mazungumzo na Chama ambaye ni mali ya Simba jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) kwa kuwa Simba inaeleza kuwa ana mkataba mrefu...

MABOSI WA YANGA WAPANIA KUWA NA KIKOSI MATATA AFRIKA MASHARIKI NA KATI

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mpango mkubwa wa kuboresha kikosi chao kwa sasa ni mkubwa na wana imani ya kuwa na kikosi bora mwakani.Kwa sasa Yanga ipo kwenye mchakato wa kuboresha kikosi chini ya wanafamilia ya GSM ambao wapo nao bega kwa bega katika masuala ya usajili na uwekezaji.Mkurugenzi wa Uwekezaji na Uendeshaji ndani ya GSM, Injinia Hersi Said...

RAMSEY AMPA TANO CR 7

0

SUPASTAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amefagiliwa na mchezaji mwenzake, Aaron Ramsey kwa uanamichezo wake, ubora na kufuata maadili ya kazi yake.Ronaldo alikuwa akifurahia msimu mwingine bomba baada ya kufunga mabao 25 katika mechi 32 kabla ya msimu kusimamishwa na Corona. Ramsey alitua Turin mwanzoni mwa msimu huu akitokea Arsenal lakini ameshaona vitu vya tofauti kwa Ronaldo.“Ni mchezaji wa kipekee...

VIFUAVIWILI:WATANIELEWA TU SIKU MOJA LICHA YA KUNIBEZA KWA SASA

0

BRUNO Tarimo ‘Vifuaviwili’ bondia wa ngumi za kulipwa ambaye ni  bingwa wa International Super Feather Weight alioupata nchini Serbia kwa pointi mbele ya bondia Scheka Gurdijeljac raia wa Serbia amesema kuwa ameamua kuwa wale ambao hawatambua anachokifanya kwa sasa watamuelewa baadaye.Kwa sasa Vifuaviwili anaishi nchini Serbia ambapo anaendelea kufanya mazoezi ndani ya nyumba baada ya Serikali kuzuia watu kutoka...

KAKOLANYA AAMBIWA ASEPE NDANI YA SIMBA KUPATA CHANGAMOTO MPYA

0

GOLIKIPA wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Ivo Mapunda, amemshauri kipa wa Simba, Beno Kakolanya kwenda kutafuta changamoto nje ya nchi ili kulinda kipaji chake alichonacho cha kuokoa michomo golini. Kakolanya alijiunga na Simba kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Bara akitokea Yanga baada ya mkataba wake wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo kumalizika. Kipa huyo tangu ametua...

HOFU YA TAMBWE IPO KWA MEDDIE KAGERE

0

ALIYEWAHI kuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe amesema kuwa ana hofu kubwa ya rekodi yake ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara mara mbili ikavunjwa na mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere. Kagere ambaye msimu uliopita aliibuka mfungaji bora wa ligi kuu akiwa amefunga mabao 23, pia msimu huu anatarajiwa kuibuka mfungaji bora ambapo...

SURE BOY SASA MAMBO FRESH YANGA WASHINDWE WENYEWE TU

0

ABDULKARIM Amin 'Popat' Mtendaji Mkuu wa Azam FC amesema kuwa iwapo Yanga wanahitaji huduma ya mchezaji wao basi wafuate utaratibu.Kauli hiyo inatoa mwanga kwa mabosi wa Yanga iwapo wanahitaji kuipata saini ya kiungo huyo kazi ni kwao kwani mambo ni fresh labda washindwe wenyewe.Kwa sasa kumekuwa na taarifa kwamba Yanga wanahitaji huduma ya kuipata saini ya Salum Abubakar,'Sure Boy'...