NYOTA WAKAZI WATATU KUTIMKA NDANI YA SIMBA
UPO uwezekano mkubwa wa mastaa wakubwa Simba kutimka kwenye klabu hiyo kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara baada ya kupata ofa nono za kucheza soka nje ya nchi, ikiwemo Afrika Kusini.Mastaa hao wanaotaka kuondoka Simba wote mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu ambao ni Sharraf Eldin Shiboub na Hassani Dilunga huku mmoja Clatous Chama akiwa na...
MANCHESTER CITY YAMLILIA MAMA WA PEP GURDIOLA ALIYEFARIKI KWA CORONA
UONGOZI wa Manchester City ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi Kuu England umethibitisha kutokea kifo cha mama mzazi wa Kocha Mkuu Pep Guardiola aliyefariki jana kwa Virusi vya Corona.Dolors Sala Carrio ametangulia mbele za haki akiwa na umri wa miaka 82 akiwa Manresa, Barcelona.Taarifa za kifo chake zinatokea wiki moja baada ya Guardiola kutoa msaada kwa ajili...
ISHU YA OKWI KURUDI NDANI YA SIMBA IPO HIVI
INAELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo kwenye mazungumzo na nyota wao wa zamani, Emannuel Okwi ili arejee tena kukipiga kwa mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara.Okwi kwa sasa anakipiga ndani ya Klabu ya Al Ittihad alijiunga nayo kwa dau la dola 257,000 zaidi ya shilingi milioni 592 akitokea Simba.Habari zinaeleza kuwa kinachokwamisha dili la nyota huyo kwenda sawa...
YANGA: WACHEZAJI WANAFANYA KAZI WALIYOPEWA, TUKIRUDI TUTAKUWA VIZURI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wachezaji wao wote wamekuwa wakionyesha juhudi za kufanya mazoezi wakati huu wa mapumziko jambo ambalo linapaswa liwe na mwendelezo muda wote.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo inaelezwa na wataalamu kwamba vinasambaa kwa njia ya hewa.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa wamekuwa...
SAGNA: ARSENAL ITAFANYA MAKOSA KUMUUZA AUBAMEYANG
BEKI wa zamani wa kikosi cha Arsenal, Bacary Sagna amesema kuwa klabu hiyo itafanya makosa makubwa iwapo itamuuza nahodha wao, Pierre-Emerick Aubameyang.Nahodha wa Arsenal Auba amekuwa akihusishwa kusepa ndani ya Arsenal msimu huu huku ikielezwa kuwa amekuwa hana furaha ndani ya timu hiyo kwa kuwa haishiriki kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.Dili la Aubameyang limebakiza miezi 12 ndani ya Emirates...
KIBAYA: MUHIMU KUFANYA DUA NA KULINDA KIPAJI
JAFFARY Kibaya nyota anayekipiga ndani ya Mtibwa Sugar amesema kuwa wakati huu wa Virusi vya Corona ni muhimu kwa wachezaji kulinda viwango vyao na kuchukua tahadhari kujilinda.Kibaya amesema kuwa kwa sasa kila mmoja anapitia kipindi kigumu ila kinachotakiwa ni kutulia na kufuata utaratibu uliowekwa."Kipindi cha sasa ni kigumu na kila mtu anahangaika kutafuta faraja na matumaini lakini ni wakati...
WOJCIECH MLINDA MLANGO WA JUVENTUS AWEKWA SOKONI
WOJCIECH Szczesny mlinda mlango wa Juventus amewekwa sokoni ili kutunisha mfuko wa mabosi wa Juventus. Mkataba wa nyota huyo ndani ya Juventus unameguka mwaka 2024 na inaelezwa kuwa hawana dalili za kumuongezea dili jingine.Miongoni mwa timu ambazo zinaelezwa kuwa zinaweza kusepa na saini yake ni Chelsea pamoja PSG.Msimu huu kwenye Serie A Juventus ikiwa imecheza mechi 26 amekaa langoni mechi...
ZUBER KATWILA: WACHEZAJI NIMEWAPA PROGRAM MAALUM
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wachezaji wamepewa kazi kubwa ya kuwa mabalozi kwenye familia zao na kujilinda na Virusi vya Corona.Kwa sasa wachezaji wa Mtibwa Sugar wamevunja kambi na kila mchezaji anafanyia mazoezi yake nyumbani akiwa na familia yake baada ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kupisha maambukukizi ya Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh Jembe, Katwila...
MO RASHID SASA DOZI YAKE NI KUTWA MARA MBILI
MOHAMED Rashid,'Mo Rashid' nyota anayekipiga ndani ya JKT Tanzania kwa mkopo akitokea Klabu ya Simba amesema kuwa kwa sasa anapiga dozi ya mazoezi mara mbili kwa siku ili kulinda kipaji chake.Akizungumza na Saleh Jembe, Rashid amesema kuwa amekuwa akifanya mazoezi asubuhi na jioni kwa kufuata program alizopewa na Kocha Mkuu, Mohamed Abdallah."Nipo nyumbani kwa sasa nikiendelea na mazoezi pia...
NIYONZIMA AWAPA SOMO HILI WACHEZAJI
HARUNA Niyozima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ni busara kwa wachezaji kufanya mazoezi wakati huu wa mapumziko na kujilinda dhidi ya Virusi vya Corona.Niyonzima amekuwa kwenye ubora wake msimu huu baada ya kurejea ndani ya Yanga licha ya kutumia muda mfupi amepata nafasi kikosi cha kwanza baada ya kujiunga na klabu hiyo kwenye usajili wa dirisha dogo akitoa...