DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…
DIRISHA la usajili la usajili linatarajiwa kufungwa usiku wa leo, huku kukiwa na sapraizi kubwa kwa klabu ya Simba baada kutema mastraika wawili walioibeba timu hiyo msimu uliopita, huku winga aliyekuwa akitajwa huenda angefyekwa, akisalimika kama zali. Ipo hivi. Msimu uliopita, Simba iliongozwa eneo la mbele ya washambuliaji Steven Mukwala na Leonel Ateba kila mmoja akifunga mabao 13 sawa na...
YANGA WAIPIGA SIMBA BAO ‘ISHU’ YA UWANJA….ISHU NZIMA IKO HIVI….
YANGA imehakikishiwa kuwa, ndani ya wiki mbili tu itakabidhiwa rasmi hati ya ongezeko la eneo la ujenzi wa uwanja unaotarajiwa kujengwa makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Jangwani. Eneo hilo awali ndiko ulikokuwa Uwanja wa Kaunda ulioifanya Yanga kuwa klabu ya kwanza kumiliki uwanja kabla ya mambo kuwatibukia na kuhaha kuurejesha, ila kikwazo ilikuwa eneo hilo kuwa dogo na...
NI ZAIDI YA NOMAA😎👌🔥…YANGA WATIA MEZANI BIL 33 KUIFUNGA SIMBA …
YANGA imetangaza itatumia kiasi cha Sh 33 Bilioni kwa msimu ujao wa 2025-2026 kuhakikisha wanaendelea kutamba. Akitangaza bajeti hiyo Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji amesema bajeti hiyo ni ongezeko la kama Sh 8 bilioni kulinganisha na bajeti ya Sh 25.3 Bilioni ya msimu uliopita. Arafat amesema katika bajeti ya msimu uliopita, Yanga ilibaki na kiasi cha Sh 307 Milioni...
CHUKUA HIYOOOO….YANGA WAIACHA MBALI AL AHLY YA MISRI….UKITAKA KUINUNUA JIPANGE…
MWENYEKITI wa Kamati ya Mabadiliko ya Mfumo wa Uendeshaji wa Klabu ya Yanga, Alex Mgongolwa, amesema kwa sasa thamani ya timu hiyo imefikia kiasi cha Sh100 bilioni. Thamani hiyo ni kubwa kuliko hata iliyo nayo klabu ya Al Ahly ambayo ni Euro 30 Milioni ambao ni zaidi ya Sh 88 bilioni) ikiwa ni zaidi ya Sh 12 bilioni na kuifanya...
PESA IPO MECHI ZA LEAGUE ONE UINGEREZA LEO…
Jumamosi ya kibabe imefika, mechi za Mataifa mbalimbali zinaendelea kwani kila timu inajifua kufuzu Kombe la Dunia 2026. Meridianbet wao wanakwmabia kuwa nafasi ya wewe kuibuka na mkwanja mrefu ipo hapa. Usingoje kupitwa na ODDS kubwa leo. Je unajua kuwa LEAGUE ONE kule Uingereza kuna mechi kali ambapo Huddersfield Town atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Peterborough United ambao ndio vibonde...
MERIDIAN BONANZA KUTIKISA DUNIA YA KUBASHIRI MTANDAONI…
Meridianbet imekuja na mapinduzi mapya kwa wapenda burudani wote, ni Meridian Bonanza, mchezo wa kasino wa kisasa unaochanganya ubunifu, msisimko, na nafasi halisi za ushindi. Kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri wanaotafuta kitu kipya chenye mvuto wa kipekee, basi wacheze Meridian Bonanza kwani ni zaidi ya mchezo na hawatojutia kushiriki. Meridian Bonanza imeundwa kwa teknolojia ya kisasa inayowapa wachezaji mazingira...
KISA KIPA NA BEKI MPYA…FADLU AWATEGA MASTAA SIMBA…
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids mjanja sana baada ya kupata uhakika ukuta wa timu hiyo umeimarika zaidi kwa kutua beki wa kati mwingine mpya, Wilson Nangu na kipa wa Taifa Stars, Yakoub Suleiman ametoa kauli inayoonekana kama mtego kwa mastaa. Kocha huyo amesema anawasubiri wachezaji hao kambini waungane na timu ili ajue namna ya kuwatumia, licha ya kujua uwezo waliouonyesha...
SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA…
Simba imefanya mabadiliko makubwa ya Bodi ya Wakurugenzi baada ya mwekezaji Mohammed Dewji 'MO' akijiweka kando, huku akimteua Crescentius Magori kuchukua nafasi hiyo, ilihali CEO wa zamani wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez akirejea klabuni. Mabadiliko hayo ambayo yametangazwa dakika chache zilizopita, MO mbali na Magori aliyewahi kuwa, Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo na mshauri wa Mo Dewji ameteua sura mpya...
FURAHIA USHINDI MNONO NA MERIDIANBET LEO…
Je unajua kuwa leo hii mechi za kufuzu Kombe la Dunia zipo kwaajili yako?. Suka jamvi la uhakika na wakali wa ubashiri Tanzania. Pesa zipo nje nje Alhamisi hii ya leo. Usisubiri kupitwa hapa. Piga pesa mechi ya Netherlands vs Poland ambapo takwimu zinaonesha kuwa kwenye mechi 6 toka mwaka 2016 walipokutana Poland amepigwa mechi 5 na kutoa sare mechi...
SAMSUNG GALAXY A25 YAKUNGOJA UKICHEZA SUPER HELI…..
Ushindi haupo tu kwenye dau unaloliweka bali upo kwenye namna unavyozitumia fursa, na aina ya zawadiunazozipata. Meridianbet imebadilisha mchezo kwa kuleta ofa ya kipekee, simu mpya ya Samsung Galaxy A25 kwa wachezaji wa Super Heli. Hii si promosheni ya kawaida, ni mwaliko wa kuingia kwenye dunia ya ushindi wa teknolojia. Super Heli ni mchezo wa kasino mtandaoni unaotumia helikopta kama...