SIMBA DAY KUPIGWA AGOSTI 6, AHMED ALLY ATAMBA

0

TAMASHA la 'Simba Day' mwaka huu litafanyika rasmi Agosti 6 badala ya Agosti 8 kama ambavyo imezoeleka kila msimu kwenye timu ya Simba. Tamasha hilo ambalo limekuwa kubwa na maarufu nchini limepangwa kufanyika Agosti 6 kutokana na ratiba kubana ndani ya kikosi hicho. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally amesema sababu ya kurudisha...

SABABU ZA MAYELE KUITIKISA YANGA ZAWEKWA WAZI MZIZE ATAJWA

0
EE BWANA!! MAYELE AWEKA REKODI HII YA KIBABE...AMEZUNGUMZA HAYA

MASHABIKI wa Yanga kwa sasa akili hazijatulia, hii ni kutokana na vuta nikuvute iliyopo baina ya klabu hiyo na straika Fiston Kalala Mayele. Mwamba huyu aliyemaliza kama kinara wa mabao wa Yanga kwa misimu miwili mfululizo anataka kuondoka kikosini. Mabosi wa klabu hawataki kuona anaondoka kutokana na presha wanaoweza kuipata kutoka kwa mashabiki na wapenzi wa Yanga. Mayele amefunga jumla...

SIRI YA DUCHU KUREJEA SIMBA YATAJWA, MWENDA KAPOMBE WAHUSISHWA

0

SIMBA iko nchini uturuki ilikokita kambi maalumu ya kujifua kwaajili ya msimu ujao iliopanga kufanya mapinduzi na kurejesha ufalme wake uliotwaliwa na watani zao wa jadi Yanga kwa misimu miwili iliyopita. Wakati ikiendelea kujifua kule uturuki, ndani ya kikosi cha Simba kuna sura mpya za makocha na wachezaji lakini pia yupo kijana David Kameta 'Duchu' aliyerudi msimbazi baada ya kukaa...

CHAMA HAAMINI MACHO YAKE, UONGOZI WA SIMBA WAMFANYIA UMAFIA

0
Habari za SImba SC

Wakati kiungo Clatous Chama akiitingisha klabu yake, mabosi wake wamecheza mchezo wa kimafia wakimzidi akili kwa kufanya maamuzi ambayo yamemuacha hoi. Chama alitingisha kutaka kutimka klabuni hapo akitaka kuvunja mkataba na klabu hiyo baada ya kile alichodai mkataba wake uko ukingoni na tayari ameshapata timu. Hata hivyo mabosi wa Simba walishajua anachotaka kiungo wao huyo na haraka wakaingiza fedha zake zilizobaki...

SIMBA BAADA YA KUMPA THANK YOU SAWADOGO, MAPYA YAIBUKA

0
Habari za Simba

SIKU chache tu tangu apewe 'Thank You' na klabu ya Simba baada ya kukubaliana kuvunjiwa mkataba wa kuichezea timu hiyo, kiungo mkabaji Ismael Sawadogo ameibua mapya. Sawadogo alisajiliwa na Simba katika dirisha dogo la usajili akitokea Difaa El Jadida ya Morocco kwa mkataba wa miaka miwili ametumikia miezi sita tu na kupewa mkono wa kwaheri kutokana na kushindwa kuendana na...

ISHU YA MKATABA WA CHAMA WAVUJA, VIONGOZI WA SIMBA WAHAHA ISHU IKO HIVI

0
ZIZO NA SHALULILE WANYONGE TU...CHAMA "MWAMBA WA LUSAKA" BABA LAO...CAF IMETHIBITISHA

Hali si shwari baada ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama kudaiwa kutaka limalizana na timu hiyo kwa kigezo cha mkataba kumalizika akisema ana ofa sehemu nyingine. Chama, ambaye ndiye mchezaji aliyehusika na mabao mengi zaidi ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, alisaini mkataba wa miaka miwili na nusu, tangu alipokuja Januari, mwaka jana. Lakini taarifa zinadai kuwa jeuri ya...

HII SASA SIFA, UNAJUA KWANINI? SIMBA KAMA INATAKA KUKOMOA

0
Tetesi za Usajili Simba

HII sasa sifa. Simba ni kama inataka kukomoa. Unajua kwa nini? Baada ya kukosa taji lolote katika misimu miwili mfululizo, safari hii mabosi wa Simba ni kama wanakomoa kutokana na kushusha vyuma vitupu tangu dirisha la usajili lifunguliwe Julai Mosi. Ilianza na kumsanisha Willy Onana kutoka Rayon Sports ya Rwanda akiwa ni Mfungaji na Mchezaji Bora wa Ligi ya nchi...

KUMBE MKUDE SIO JEZI NAMBA 6 WA YANGA, ALLY KAMWE AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU NAMBA SITA NA UJIONWAKE ISHU IKO HIVI

0

Joto likiwa linazidi kupanda kwa Mashabiki wa Soka nchini wakitaka kumjua mchezaji atakaeva jezi namba 6 ya Yanga ambayo ilikuwa ikivaliwa na Feisal Salum alietimkia Azam FC. Afisa habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi siku ya utambulisho wa mchezaji huyo na sifa zake kuelekea kilele cha Siku ya Mwananchi ambayo itakuwa Julai 22. "Hadi kufika Jumanne, tutakuwa tumemaliza zoezi zima...

WAKATI SIMBA , YANGA WAKIENDELEA KUTANGAZA WACHEZAJI WAKE WAPYA…. WASENEGAL WA AZAM WATAMBA TUNISIA

0

WACHEZAJI wapya wa Azam FC kutoka Senegal, beki Cheikh Sidibe na mshambuliaji Alasane Diao wameanza vizuri baada ya kufunga mabao katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan leo Uwanja wa Olimpiki mjini Rades nchini Tunisia. Sidibe aliyesajiliwa kutoka Teungueth Rufisque alifunga bao la kwanza na Alasane Diao aliyesajiliwa kutoka US Goree za kwao, Senegal alifunga la tatu...

YANGA HAIBOI, HAIPOI, YATAMBULISHA BEKI MPYA KUTOKA ASEC MIMOSAS

0

KLABU ya Yanga imemtambulisha beki wa kulia, Kouassi Attohoula Yao (26) kuwa mchezaji wake mpya wa tano kutoka ASEC Mimosas ya kwao, Ivory Coast. Wachezaji wengine wapya wa kigeni Yanga ni winga Maxi Mpia Nzengeli kutoka Maniema ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na beki wa kati Gift Freddy kutoka SC Villa ya kwao, Uganda. Yanga pia imesajili wazawa...