Trending Stories
View All
KAGERE AWAFUNGUKA MABOSI WAKE KWA KITENDO CHA KUMSAJILI KAHATA
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amesema kitendo cha uongozi wa timu hiyo kumsajili kiungo Francis Kahata, basi mashabiki wa…
TANZANIA PRISONS KUMCHOMOA MSHAMBULIAJI MMOJA WA SIMBA
NYOTA wa Simba, Marcel Kaheza kwa sasa yupo kwenye hatua za mwisho kujiunga kwenye kikosi cha Tanzania Prisons.Kaheza amemalizana na…
KIPA MPYA YANGA AIPA UBINGWA MAPEMA
MLINDA Mlango mpya wa Yanga, Metacha Mnata amesema kuwa hana hofu na changamoto mpya ambazo atazipata ndani ya kikosi chake…
AZAM FC YACHEKELEA KUTINGA ROBO FAINALI
UONGOZI wa Azam FC umechekelelea kutinga hatua ya robo fainali baada ya timu ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi…
MANCHESTER UNITED YAFUTA KABISA MPANGO WA KUMUWINDA LEMINA
MANCHESTER United imefutilia mbali nia yao ya kutaka kumsajili kiungo wa Southampton, Mario Lemina mwenye umri wa miaka 25.Kiungo huyo…
SIMBA RAHA AISEE, BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI GADIEL AONESHA NDINGA YA MAANA
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba SC, beki Gadiel Michael ameweka…
MASTAA SIMBA WALIVYOANZA KUINGIA KAMBINI LEO – VIDEO
COASTAL UNION YAUPIGIA HESABU KALI MSIMU UJAO
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa msimu ujao watapambana kupata matokeo chanya kwenye michezo yao yote.Akizungumza na…
UONGOZI WA YANGA KULA SAHANI MOJA NA WAPIGAJI WA NEMBO
UONGOZI wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki na wadau wa Yanga kuacha vitendo vya kuihujumu nembo ya Yanga kwa kuchukua…
KUMEKUCHA. YANGA, SIMBA KUSAJILI KWA FAINI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zinapaswa kukamilisha usajili kwa njia ya mtandao…
SIMBA YAAHIDI KUCHUKUA MATAJI YOTE TANZANIA – VIDEO
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara akizungumzia kuhusiana na suala la timu yao kuendelea kuchukua mataji ya Ligi Kuu Bara.
LUKAKU APATA TIMU MBADALA
INTER Milan imethibitisha kuwa ipo kwenye harakati za kumsajili straika wa Manchester United, Romelu Lukaku. Kocha wa Inter Milan, Antonio…
MNAMIBIA WA YANGA KUMBANA NA MTIHANI MZITO
UONGOZI wa Yanga hivi karibuni umemkabidhi mshambuliaji wake raia wa Namibia, Sadney Urikhob jezi namba 17 ambayo ilikuwa ikivaliwa na…
FRED MINZIRO AKUNJA JAMVI NDANI YA SINGIDA UNITED
FRED Minziro aliyekuwa Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa kwa sasa yupo huru kujiunga na timu yoyote baada ya…