Trending Stories
View All
MAKATA ALIYEZIPANDISHA ALLIANCE FC NA POLISI TANZANIA APEWA TIMU YA DODOMA
MBWANA Makata ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Dodoma FC inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza.Godwin Kunambi ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri…
TANZANIA YAWALILIA WAANDISHI WATANO WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI KWA AJALI
OFISA Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando amesema kuwa ni ngumu kuamini juu ya safari ya wafanyakazi wenzake ambao…
HAYA NDIYO MAKOMBE 40 YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL ALVES
Dani Alves ametwaa jumla ya makombe 40 tangu aanze kucheza mpira mia ka 18 iliyopita. Nyota huyo anayekipiga Paris Saint…
EXCLUSIVE: SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA WATATU WA YANGA
GADIEL Michael sasa rasmi ni mchezaji wa Simba akitokea Yanga ambapo amesaini kandarasi ya miaka miwili.Gadiel anaungana na wachezaji wenzake…
WAARABU WA MSUVA WAMTAKA MUDATHIR
Klabu ya Difaa Al Jadid ya Morocco ambayo anaichezea Mtanzania, Simon Msuva ina mpango wa kumsajili kiungo wa Azam FC,…
SIMBA SC KAZI IMEANZA SASA
Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, hali ya mambo ilivyo hivi sasa huko mitaani baada ya timu za Simba na Yanga kuwa…
SABABU YA YANGA KUWEKA KAMBI MAPEMA MORO YATAJWA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umeanza maandalizi ya Ligi mapema ili kuandaa kikosi kitakacholeta ushindani msimu ujao. Akizungumza na Saleh…
MO SALAH NA SAMATTA KUWATAZAMA WABABE HAWA WALIOTINGA ROBO FAINALI
BAADA ya kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kilicho chini ya nahodha Mbwana Samatta kufungasha virago kwenye michuano ya…
AZAM FC MZIGONI LEO KAGAME KUMENYANA NA KCCA
MABINGWA watetezi Azam FC leo watakuwa kazini kumenyana na KCCA kwenye michuano ya Kagame inayoendelea nchini Rwanda.Mchezo wa kwanza Azam…
KMC KUIKAZIA TP MAZEMBE
UONGOZI wa KMC umesema kuwa leo utapambana kupata matokeo chanya mbele ya TP Mazembe kwenye mchezo wa pili wa michuano…
KIKOSI CHA NAMUNGO FC 2019-20
KIKOSI cha Namungo FCMakipaAdamu OsejaLucas ChembejaWalinziMizar KristomAlly KoroshoJukumu KibandaFaisal Mganga Hamisi Mgunya Paul NgalemaCarlos Protus ViungoHamisi Nyenye John MbiseDaniel Joram Ben Silvester Jamal Dulaz Steve Nzigamasabo Lukas Kikoti Selemani…
MTIBWA SUGAR: HATUNA PRESHA NA VURUGU ZA SIMBA NA YANGA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa hauna hofu na fujo za timu kubwa ambazo zinafanya usajili wa kutisha kwani wao…
NDANDA, KAGERA SUGAR ZAIKOMALIA MWADUI FC
KLABU za Mwadui FC, Kagera Sugar na Ndanda FC zipo vitani kwa ajili ya kupata saini ya kiungo Abdallah Seseme.Kiungo…
ZAHERA AFUNGUKA JUU YA AJIBU KUSAINI SIMBA
Kocha Mkuu wa Yanga, Emmanuel Amunike amesema kuwa inawezekana Ibrahim Ajibu aliogopa kujiunga na TP Mazembe ya Congo ndiyo maana…