KIPA WA YANGA AGOMBEWA NA TIMU KIBAO ZINAZOSAKA SAINI YAKE
TIMU mbili za Ligi Kuu Bara ambazo ni Coastal Union ya Tanga na Mbeya Kwanza ya Mbeya zinapambana kuipata saini ya kipa namba moja...
TUWAKEMEE WANAOINGILIA MAAMUZI YA BENCHI LA UFUNDI KWENYE USAJILI
HESABU ambazo zipo kwa sasa kwa kila timu ni kuona namna gani ambavyo zinaweza kukamilisha usajili kwa ajili ya msimu mpya wa 2021/22.Sio kwenye...
KOCHA STARS ATANGAZA KIKOSI CHA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Kocha wa Timu ya Taifa, Kim Poulsen ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Agosti 24, 2021 kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya...
KAMBI ya SIMBA MOROCCO HATARI, KAMA ULAYA, VIWANJA VYAKE SHIDA!
Simba imejichimbia katika hoteli ya Dawliz Resort & Spa, ambayo kwa siku moja chumba cha watu wawili unatakiwa kulipa si chini ya Sh390,000.
TIMU MPYA YA LUIS MIQUISSONE IPO MAJI YA SHINGO KWENYE LIGI..YALILIA MAREFA
Klabu ya Al Ahly imekiandikia barua Chama Cha Soka nchini Misri (EFA) wakitaka marefa wa kigeni kuchezesha mchezo wa ‘Super Cup’ na michezo ya...
VIDEO: WATAKAOMRITHI CHAMA WANA KAZI, ISHU YA MAKAMBO KURUDI YAZUNGUMZIWA
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Tanzania, George Ambangile ameweka wazi kwamba wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa Simba na Yanga ambao watakuwa kwenye...
REKODI ZA MAKIPA WALIOTEMWA MAZIMA YANGA HIZI HAPA
MAISHA yanazidi kuendelea kwa sasa ikiwa ni wakati wa usajili ndani ya ardhi ya Bongo kwa ajili ya msimu wa 2021/22.Mshtuko kwa mashabiki wa...
KISA KUTINGA HATUA YA ROBO FAINALI, SIMBA YAPEWA ONYO
GEORGE Ambangile, mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa, Simba watakutana na ugumu tofauti kwenye mashindano hayo...
VIDEO;NABI AANZA NA PACHA YA MAKAMBO,MAYELE, SIMBA YASHUSHA JEMBE JIPA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameanza na pacha ya Makambo Heritier pamoja na Fiston Mayele, Simba yashusha jembe la kazi, latua Morocco.
SAFARI YA KUVUTIA NDANI YA CIRCUS FEVER DELUXE
Stadi za wacheza sarakasi ikiwa ni sambamba na uwezo wa wanyama, siku zote imekuwa ni safari ya kuvutia kwa wanasarakasi.Huu ni mchezo ambao unapatika...