KIGOGO SIMBA AMTAJA MO DEWJI SAKATA LA KUUZWA KWA CHAMA..AFUNGUKA MAZITO
SIKU moja baada ya klabu ya Simba kuthibitisha kutokuwa na nyota Clatous Chama na Luis Miquissone msimu ujao, uongozi umefunguka sababu za kuwauza nyota...
BAYERN MUNICH NOMA, WASEPA NA TAJI LA SUPER CUP MARA SITA
BAYERN Munich imetwaa taji la tisa la German Super Cup jambo ambalo limewafanya wawe na furaha kutimiza jambo lao kwa kuwa ni mara yao...
MEDDIE KAGERE: HATA WAKISEMA NINA MIAKA 100, WENGINE HAWAFANYI KAMA MIMI
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa hata watu wakimuita ana miaka 100 yeye hajali kwa kuwa anajivunia kuwa na miaka ambayo wengine hawana.Nyota...
KAMBI NA USAJILI MPYA SIMBA VYAMCHANGANYA GOMES..AFUNGUKA UGUMU ANAOPATA
KOCHA wa Simba, Didier Gomes amesema kila mchezaji aliyepo kambini anakiwasha kwelikweli na ushindani ni mkubwa.Gomes amesema amefurahishwa na utayari waliokuwa nao wachezaji wapya...
VIDEO:YANGA YAOMBA KUCHEZA NA SIMBA, MOROCCO
WAKATI wakiwa nchini Morocco kwa ajili maandalizi ya msimu wa 2021/22 Yanga wanatajwa kuomba mechi dhidi ya Simba ambao nao wameweka kambi nchini Morocco.
KISA BAHATI..SHABANI DJUMA AMTAKA MWAMNYETO KUKUNJUA NAFSI..UONGOZI WAFUNGUKA HAYA
BEKI mwenye uwezo wa kupandisha mashambulizi wa Yanga, Djuma Shabaan amemfuata nahodha wake msaidizi, Bakari Mwamnyeto akimuomba amuachie jezi namba 3. Mkongomani huyo amewaambia...
LUKAKU ACHEKELA KURUDI CHELSEA, KAZI IMEANZA
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Chelsea kinachonolewa na Thomas Tuchel, Romelu Lukaku ameaza mazoezi akiwa na timu yake hiyo mpya inayoshiriki Ligi Kuu...
HIZI HAPA SABABU ZA YANGA KUAMUA KUPELEKA WIKI YA WANANCHI ZANZIBAR
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umepanga kuzindua Wiki ya Mwananchi Agosti 22 visiwani Zanzibar ambapo kilele chake kitakuwa Agosti 29, jijini Dar es Salaam.Ofisa...
MWAKALEBELA ATAKA SIMBA VS YANGA ICHEZWE MOROCCO, SABABU HIZI HAPA
YANGA wameanza jeuri. Wakati wanatua jana nchini Morocco, mkuu wa msafara wao akatoa kauli moja ya kichokozi kwa kujiamini huku viongozi wenzie wakimsapoti.Wanataka kama...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi