KISA JEZI MPYA KUFANANA NA ZA MTIBWA..YANGA WAFUNGUKA HAYA
Yanga imetumia jezi mpya ambazo zinafanana na jezi za Mtibwa Sugar na kuzua taharuki ya kwa mashabiki na wadau mbalimbali lakini wakatoa ufafanuzi kwamba...
MAVITU YA SAKHO, VARANE YAMPA MZUKA GOMES..KUPIGA GAME YA KIRAFIKI JUMANNE
KUTUA kwa kiungo fundi wa mpira, Pape Ousmane Sakho kutoka Senegal ndani ya kambi ya Simba iliyopo Morocco, kumempa mzuka mwingi, Kocha Didier Gomes,...
NYOTA MTIBWA SUGAR AJIFUNGA POLISI TANZANIA
MSHAMBULIAJI wa Mtibwa Sugar, Mohamed Hilika msimu ujao atakuwa na jezi ya Polisi Tanzania baada ya kusaini dili jipya katika timu hiyo.Nyota huyo alikuwa...
KUHUSU CHAMA KULAZIMISHA KUONDOKA SIMBA…UKWELI UKO HIVI
MSHAURI wa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Simba Crescentius Magori amesema suala la kuondoka kwa kiungo wao Clatous Chama lilikuwa ni jambo la kushtua...
SIMBA YATAMBULISHA NYOTA MWINGINE
KLABU ya Simba imemtambulisha nyota mpya mwingine mzawaeo Agosti 18 kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo kwa msimu wa 2020/21.Ni Jimmyson Steven Mwanuke mwenye...
KUHUSU USIRI WA PESA ZA MAUZO YA CHAMA NA LUIS…., UFAFANUZI WA KINA HUU...
KAIMU Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano ya Simba, Ezekiel Kamwaga ametolea ufafanuzi kwa watu wanaohoji taarifa ya timu hiyo kutoweka wazi gharama...
VIDEO: YANGA WABADILI JEZI KISA PLATEAU UNITED, MOROCCO
KWA sasa kikosi cha Yanga kipo nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 na kimeanza mazoezi, jezi za awali ambazo walivaa...
YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA KITASA HIKI CHA KAZI
NI rasmi sasa klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kati Yanick Bangala Litombo ambaye wataenda kumtambulisha nchini Morroco sehemu ambayo wanaenda...
BAADA YA KUBADILISHANA JEZI NA MESUT OZIL, MBWANA SAMATTA APEWA ONYO UTURUKI..
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameonywa mapema huko Uturuki huku akitakiwa kufanya kazi ya ziada msimu huu wa Ligi Kuu nchini humo,...
BAADA YA KUTEMANA NA SIMBA..MIRAJI ATHUMAN AANIKA TABIA ZA MORRISON HADHARANI..
MSHAMBULIAJI Miraj Athuman ‘Sheva’ anajiandaa kuanza maisha mapya nje ya Simba baada ya kumalizana na KMC, lakini akamtaja winga mtukutu, Bernard Morrison akisema tofauti...