AZAM WAMETUKUMBUSHA MAPUNGUFU YETU
KOCHA mkuu wa klabu ya Simba, Didier Gomes Da Rosa amesema kuwa mchezo uliopita dhidi ya Azam umewasaidia kujua mapungufu waliyonayo na kuyafanyia kazi...
MABINGWA WATETEZI WA KOMBE LA SHIRIKISHO KUKUTANA NA AFRICAN LYON
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Simba wana kazi pia ya kutetea taji lao baada ya kutinga hatua ya 32 bora na leo wamejua...
SIMBA,YANGA WAHITIMISHA CHEMSHA BONGO YA SPOTI XTRA
ILE Chemsha Bongo iliyokuwa inaendeshwa na Gazeti la Spoti Xtra ambayo ilikuwa inawapa fursa wasomaji wa gazeti hilo kujishindia zawadi mbalimbali kama seti za...
KAMA GATOGATO AMEWEZA, KAYOKO NA SASII HAWAWEZI KUSHINDWA
MICHUANO ya kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani imemalizika Jumapili nchini Cameroon, kwa fainali kali kupigwa kati ya timu ya Taifa...
ORODHA YA NYOTA 23 WA AZAM FC WALIOIBUKIA TANGA
WACHEZAJI wa Azam FC 23 waliosafiri kuelekea Tanga leo Februari 8 kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union, Februari...
SIMBA WAANZA SAFARI YA KUIFUATA VITA DR CONGO
KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, klabu ya Simba tayari kimewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, kwa ajili...
KAZE ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY
KOCHA mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amefunguka kuwa ameridhishwa na maandalizi ya kikosi chake kuelekea mchezo wao dhidi ya Mbeya City utakaopigwa siku ya...
KOCHA AZAM: TULISTAHILI KUIFUNGA SIMBA
KOCHA msaidizi wa klabu ya Azam, Vivier Bahati amesema kuwa anaamini kikosi chake kilistahili kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa kiporo uliopigwa Jumapili...
KAZE: WAMEBADILI TARAHE..LAKINI KIPIGO KWA SIMBA KIPO PALEPELE..!!!
CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa licha ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba kupelekwa mbele wanaamini kwamba wakikutana...
NEYMAR ATAKA KUKAA MUDA MREFU NDANI YA PSG NA MBAPPE
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya PSG, Neymar Jr amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho pamoja na nyota mwenzake Kylian Mbappe.Imekuwa ikielezwa kuwa nyota hao...