SIMBA WAMEPAA NA VISIT TANZANIA NA WENGINE WAIGE
MIEZI kadhaa iliyopita, mwishoni mwaka jana, gazeti la Championi liliibua mjadala kuhusiana na Klabu ya Simba kucheza ikiwa kifua bila wadhamini wakati wa hatua...
DUH! KICHAPO CHA RUVU SHOOTING WADAI NI UZALENDO
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Klabu ya Ruvu Shooting amesema kuwa hawakuwa na lengo la kupoteza mbele ya Namungo ila wamefanya uzalendo kuwapa nguvu...
RATIBA YA YANGA NDANI YA DAKIKA 270 NI MOTO BONGO
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wakiwa na pointi zao 44 baada ya kucheza jumla ya mechi 18 wana kazi ya kufunga mwezi...
PAWASA: SIMBA ILI IFANYE VIZURI KIMATAIFA IONGEZE NGUVU KWENYE KIUNGO MKABAJI
BEKI wa zamani wa Klabu ya Simba, Boniface Pawasa amesema kuwa ili Simba iweze kutusua kimataifa ni lazima iwe na kiungo mkabaji makini ambaye...
AZAM FC:SIMBA HAWAJAWAHI KUTUFUNGA
UONGOZI wa Klabu ya Azam FC umesema kuwa haujawahi kufungwa kihalali na wapinzani wao Simba ndani ya dakika 90 kwenye mechi walizokutana nao uwanjani.Februari...
WAPINZANI WA SIMBA WANYOOSHWA KIMATAIFA KLABU BINGWA NA LEWANDOWSKI
KWENYE mchezo wa Klabu Bingwa hatua ya nusu fainali, uliochezwa usiku wa kuamkia leo Klabu ya Al Ahly ya Misri ambayo ipo kundi moja...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la SPOTI XTRA Jumanne
CHIKWENDE AENGULIWA SIMBA, MKUDE NDANI KIMATAIFA
ORODHA ya kikosi cha Klabu ya Simba kinachotarajia kuanza safari kesho, Februari 9 kuwafuata wapinzani wao AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
KIUNGO DOMAYO NJE YA UWANJA MWEZI MZIMA
KIUNGO wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina, Frank Domayo, anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na...
CHAMA KUKOSA PENALTI KWA MKAPA, SIMBA WATOA TAMKO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kukosa kwa penalti kwa nyota wao Clatous Chama pamoja na kushindwa kutumia nafasi walizopata jana mbele ya Azam FC...