RASMI…SASA UNAWEZA KUWA SEHEMU YA MMILIKI WA MERIDIANBET….ZINGATIA HAYA TU…
Sub: “Meridianbet Yapiga hatua kwenye soko la Kimataifa na sasa habari njema kwa wateja wake ni kwamba wanaweza kuwa sehemu ya Kampuni hii kubwa...
MATAMPI KUTUA SIMBA…? ISHU YA MANULA NA LAKREDI UTATA HUU HAPA….
Simba inahaha kumbakisha kipa wake namba moja, Ayoub Lakred ambaye anatingisha anataka kuondoka na kurejea Morocco lakini kukabiliana na presha hiyo, Wekundu hao wameanza...
‘PACHA’ WA PACOME AOMBA KUSEPA ASEC MIMOSAS….SIMBA WATAJWA….
Kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas, Serge Pokou ameomba rasmi kuondoka klabuni hapo huku akihusishwa na Simba inayoelezwa inampigia hesabu kali.
Fundi huyo wa mguu wa...
TETESI ZA USAJILI:- ISHU YA SIMBA NA MAYELE ‘SHOW’ NZIMA IKO HIVI…TRY AGAIN ATOA...
Uongozi wa Simba rasmi umeingia katika rada za kumtaka kumsajili mshambuliaji wa Pyramids FC ya nchini Misri, Fiston Mayele.
Simba imepanga kukifanyia maboresho makubwa kikosi...
WYADAD WAPANGA KUMNG’OA LAKRED SIMBA….OFA ALIYOPEWA NI MO DEWJI TU ANAWEZA KUOKOA JAHAZI…
Timu ya Wydad Casablanca imeonyesha nia ya kumsajili kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwa ajili ya msimu ujao.
Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimeliambia...
ZIMEVUJAAA….YANGA KULAMBA BILION 1 FEI TOTO AKIJIUNGA SIMBA…
Inaelezwa kuwa, Klabu ya Azam ikitaka kumuuza Feitoto kwa Simba ni lazima waipe Yanga kiasi cha pesa shilingi bilioni moja.
Akizungumza kwa code kwenye Sport...
MGUNDA KUULA MAZIMA SIMBA…APEWA MTEGO WA NAFASI YA PILI…KULIPWA MIL 22 KWA MWEZI…
FURAHA ya mashabiki wa Simba imerudi upya ndani ya kikosi hicho tangu alipokabidhiwa timu hiyo Kocha Mkuu, Juma Mgunda akichukua nafasi ya Mualgeria, Abdelhak...
TETESI ZA USAJILI…..BENO KAKOLANYA HUYOOOO JANGWANI….DILI LAKE LIKO HIVI…
WAKATI timu zikiwa sokoni kusaka majembe kwa ajili ya msimu ujao, miongoni mwa majina yaliyopo mezani kwa vigogo wa Yanga ni jina la kipa...
MANULA KURUDI AZAM FC..?… UKWELI WOTE UNAOPASWA KUJUA HUU HAPA…
AZAM FC imedhamiria kwa dhati kumrudisha aliyekuwa kipa namba moja wa kikosi hicho, Aishi Manula baada tu ya msimu huu kuisha.
Taarifa kutoka ndani ya...
UBINGWA WA 30 YANGA ULIVYOACHA SIMANZI KWA MTIBWA….SHEREHE ZAANZIA MORO…
SASA ni rasmi kwamba Yanga ni bingwa mpya wa Ligi Kuu Bara baada ya leo kuwachapa Mtibwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Manungu Turiani...