Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

MASHABIKI WAMTAKA PACHA WA AZIZI KI, JE UONGOZI UNASEMAJE!? ISHU IKO...

0
Saa chache baada ya kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Stephanie Aiz Ki 'Master Ki' alipost kuhusu mchezo wa kwanza wa Ligi ya NBC...

WAPINZANI WAIPIGIA SALUTI YANGA…WAFUNGUKA HAYA

0
Klabu ya ASAS ya nchini Djibouti imeukubali mziki wa Yanga Sc baada ya kupokea kichapo cha bao 5-1 katika mchezo wa hatua ya kwanza...

MUDATHIR AFUNGUKA ISHU YA SIMU YA MKEWE UWANJANI

0
Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya amefunguka staili yake ya kushangilia aloitumia baada ya kufunga bao katika mechi ya ufunguzi kwenye Ligi Kuu dhidi ya...

BREAKING NEWS : KOCHA WA YANGA AFARIKI DUNIA

0
Kocha wa zamani wa Yanga,raia wa Uganda Sam Timbe amefariki dunia mchana wa leo baada ya kuugua ghafla na mauti yakamfika wakati anapelekwa hospitali. Mpaka...

DOUMBIA KUMBE HAJAMALIZANA NA YANGA, ISHU IKO HIVI

0
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’. Taarifa...

MWANASHERIA WA YANGA ALAMBA DILI FIFA,… YANGA WATIA NENO

0
Mkurugenzi wa Sheria wa Young Africans SC, Wakili Simon Patrick amechaguliwa na Baraza Kuu la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa kwenye jopo la...

NABI AFUNGUKA KILICHOMPONZA KAIZER CHIEFS BAADA YA KUONDOKA YANGA

0
WAKATI mashabiki wa Kaizer Chiefs ya Sauzi wakiujia juu uongozi wa klabu hiyo kwa kumteua kocha mzawa,Molefi Ntseki, aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi...

KIKOSI CHA YANGA KINAZIDI KUMEGUKA…..WENGINE WAWILI KUONDOKA

0
Wakati mashabiki wa Young Africans wakisubiri kwa hamu fujo za usajili mpya ndani ya kikosi chao, timu hiyo iliyopata mafanikio makubwa msimu uliopita inaendelea...

KILICHO SABABISHA YANGA KUWEKA KAMBI NCHINI CHAWEKWA WAZI

0
Simba imetangaza kwenda kuweka kambi nchini Uturuki huku Azam na Singida Fountain Gate zikiwa zinaenda wanaenda Tunisia. Dar es Salaam. Klabu ya Yanga imeamua kuendelea...

JAMBO LA YANGA KUWEKA KAMBI DUBAI LABUMA….SASA KUWEKA KAMBI HAPA

0
Klabu ya Yanga imeamua kuendelea kukomaa kufanya maandalizi ya msimu ujao hapa hapa nchini badala ya kwenda nje ya nchi kama ilivyo kwa timu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS