Tag: Simba SC
DUBE AANZA KUSUKWA UPYA…APEWA MBINU HIZI NA GAMONDI
NYOTA mpya wa Yanga, Prince Dube ana balaa zito ndani ya kikosi cha Yanga kwenye mechi ambazo anacheza licha ya kushindwa kufunga mabao mengi...
ABDULRAZAK HAMZA ATABIRIWA MAKUBWA SIMBA
Tuna kijana wetu, Hamza Abdulrazak. Beki wa mpira. Mtulivu kama alivyo. Anacheza mpira wa miaka ya mbele yake. Simba imejipiga chenga ya mwili na...
NAPENDA KIBURI CHA YUSUPH KAGOMA…SIMBA HAWAJAKOSEA KUMSAJILI
Kuna Yusuf Kagoma. Bonge la mchezaji. Wakati Simba walipokuwa wanampigania Lameck Lawi kati yao na Coastal Union nilisafiri na Kagoma na Lawi kwenda Indonesia...
SIMBA IMEJIPATA SASA…EDO KUMWEMBE AICHAMBUA
Simba waliwasili Tripoli miaka 13 tangu kuuawa kwa Rais wa zamani wa Libya, mwenye nchi yake. Muammar Muhammad Abu Minyar Al Gaddafi. Bado haikuwa...
TFF ILIKOSEA HAPA SAKATA LA KAGOMA NA YANGA
Uamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) kuzuia shughuli za michezo kwenda katika mahakama za kawaida si tu kwamba ulilenga shughhuli za mpira...
AHMED ALLY ATOA KAULI HII…BAADA YA SIMBA KUFANYIWA VURUGU
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba, Ahmed Ally amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuwa timu yao iko salama licha ya 'purukushani'...
KAULI YA CHE MALONE MUDA MFUPI KABLA YA KUWAVAA AL AHLI
BEKI kisiki wa Simba, Che Fondoh Malone, amesema yeye na wachezaji wenzake wapo tayari kwa mchezo wa leo wa raundi ya kwanza, Kombe la...
FADLU HANA PRESHA NA JESHI LAKE…TSHABALALA NA CHE MALONE WAWATULIZA MASHABIKI
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo akiwemo Nahodha Mohammed Hussein na Che Malone wamesema wamejiandaa vizuri kwa...
AL AHLI YAMWAGA PESA KUIMALIZA SIMBA.
Al Ahli Tripoli ni timu inayotumia pesa nyingi katika kujiendesha. Katika kujiandaa na msimu mpya ikiwamo kuiwaza Simba, imemwaga mkwanja wa maana katika kusajili...
SIMBA NDIO MTAIJUA LEO…WAARABU WAINGIA UBARIDI TAYARI
MNYAMA SIMBA inacheza mechi ya kwanza katika michuano Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ikiwa ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli leo na hakika...