Tag: Simba SC
SIMU ZIMEANZA KUITA KWA JUMA MGUNDA…AWEKA REKODI
Kwa sasa simu zinaita tu kwa kocha, Juma Mgunda, ambaye alihudumu katika klabu ya Simba kwa miaka miwili sawa na siku 732, kuanzia Septemba...
SIMBA YALAMBA MIL 10 ZA MAMA
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 10 kwa wachezaji wa Simba Queens ikiwa ni zawadi kwa kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano...
YANGA WALIVALIA NJUGA SAKATA LA YUSUPH KAGOMA…FOUNTAIN GATES WAWAKATAA KWEUPE
MKURUGENZI wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick amethibitisha kuwa timu yao ilikamilisha mchakato wa kumsajili Yusuph Kagoma mwezi Machi 2024 kutoka klabu ya Fountain...
MABULULU NI KAMA HOSSAM HASSAN TU…SIMBA WALA HAWAOGOPI
2003 wakati Zamalek wanakuja Tanzania kucheza na Simba SC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mshambuliaji aliyekuwa kwenye midomo ya watu wakati huo alikuwa...
SINGIDA BS KUISHUSHA SIMBA KILELENI LEO?
Utamu wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa michezo miwili, huku macho ya mashabiki yakiwa kwenye Uwanja wa Liti, mjini Singida wakati wenyeji...
SIMBA HAJAKATA TAMAA KWA MPANZU…DILI LAO LIMEFIKIA HUKU
Kama uliona bado mapema kwa Simba kutafuta mchezaji wa kumsajili dirisha dogo msimu huu, basi umekosea, kwani Wekundu hao wamegonga hodi tena kwa Winga...
KWA UNDANI HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA CAFCC.
AL AHLI TRIPOLI Kwa Lugha ya Malkia Elizabeth wanafahamika kama National Sport Club kutoka jiji la Tripoli katika nchi ya Libya kwa Gadaffi, kwa...
YANGA YASUKA KIKOSI…MBAYA WA SIMBA AREJESHWA KUNDINI
KIKOSI cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi...
AHMED ALLY…KAMA TUSIPOFUZU MAKUNDI UBAYA UBWELA UTATURUDIA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya, itakayochezwa...
MZIZE HAJAWAHI KUFUNGA MABAO YA KUIBEBA TIMU…OSCAR OSCAR
KUHUSU ubora wa mshambuliaji wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Clement Mzize umekuwa na dosari kwa upande wa mchambuzi wa...