Tag: Simba SC
MOROCCO AWEKA WAZI MBINU 3 ZA KUIMALIZA GUINEA
TANZANIA leo itashuka kwenye Uwanja wa Charles Konan Bannyo, uliopo mjini Yamoussoukro nchini Ivory Coast kucheza mchezo wa pili wa Kundi H, katika kampeni...
KOCHA FADLU AMEANZA VIZURI SIMBA
KOCHA wa Simba Fadlu Davids kwa namna anavyoifundisha timu hiyo, ameanza na msingi wa timu ( eneo la ulinzi ), linaonekana kuimarika / kuboreka,...
FREDDY AKANA KURUDI YANGA.
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuchezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima...
TAIFA STARS KWENYE MGONGO WA MZIZE,WAZIR JR NA KACHWELE
WASHAMBULIAJI Wazir Junior, Clement Mzize na Cyprian Kachwele wana jukumu kubwa la kuiongoza safu ya ushambuliaji ya Taifa Stars katika mchezo wa leo dhidi...
FADLU AMKINGIA KIFUA ATEBA…ANAJUA KUFUNGA
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amemkingia kifua mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Leonel Ateba 25, akisema anamwona akifika mbali msimu huu kwa jinsi...
SIMBA NA YANGA CAF WANATAMANISHA.
WAWAKILISHI PEKEE wa Tanzania kwa upande wa Kimataifa, Simba na Yanga wanakabiriwa na michezo ya raundi ya pili kufuzu hatua ya makundi, wote watakuwa...
WAKILI WA YANGA AMPASUA KICHWA KAGOMA…ATAKA ASAJILIWE JANUARI
Mwanasheria Mkuu wa Yanga Simon Patrick ametema nyongo juu ya kilichofanywa na mchezaji wa Simba, Kiungo Yusuph Kagoma ambaye alisajiliwa na Yanga kwa mujibu...
FADLU DAVIDS APITIA NJIA ZA JURGEN KLOPP
LIVERPOOL kabla ya Jurgen Klopp alishawahi kupita kocha Bill Shankly ambaye alikuwa na mafanikio makubwa ndani ya Anfield lakini baada ya hapo Liverpool ilipitia...
UBAYA UBWELA WAZUA BALAA KWA WAPINZANI
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa nado hawajafika hata robo ya ubaya ubwela ndani ya kikosi hicho...
JEAN AHUOA ATUMA SALAM KWA WALIBYA
KIUNGO mshambuliaji wa Simba anayeongoza kwa asisti kwa sasa katika Ligi Kuu Bara, Jean Charles Ahoua amerejea tena uwanjani akiwa fiti kwa asilimia 100...