Tag: Simba SC
MSUVA AFUNGUKA HATMA YAKE TAIFA STARS
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, 30, ameeleza mikakati yake wakati akitua Jamhuri ya Iraq huko Asia Magharibi kwa ajili ya kujiunga timu...
SABABU ZILIZOMRUDISHA BANDA BAROKA
WIKIENDI hii beki wa zamani wa Richard Bays, Abdi Banda alitambulishwa Baroka ya Afrika Kusini alikoondoka miaka sita iliyopita.
Banda kwa mara ya kwanza alijiunga...
HATIMAYE ISRAEL MWENDA AINGIA KAMBINI…SHIDA IKO HAPA
NYOTA mpya wa Singida Black Stars, Israel Mwenda amewasili rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya hivi karibuni kuibuka mgogoro wa kimaslahi baina ya...
SIMBA NA YANGA NGOMA DROO KIMATAIFA
Katika kuhakikisha nyota wake wanaozitumikia timu za taifa wanaziwahi mechi zao za ugenini za mashindano ya klabu Afrika wiki ijayo, Yanga na Simba zimepanga...
MPANZU AILILIA SIMBA…HATAKI TENA KUCHEZA AS VITA
IKO WAZI kwamba Winga Mcongo Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk,kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake….ukweli ni kwamba Mpanzu...
MABAO 22 YA LIGI KUU YACHAMBULIWA…SIMBA AONGOZA
MABAO 22 yamefungwa katika michezo 13 ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa mpaka sasa, 19 yakifungwa kwa njia ya kawaida na matatu kwa mikwaju...
SIMBA HAWATAKI KURUDIA MAKOSA HAYA MSIMU HUU.
WAKATI Mnyama akitarajia kushuka dimbani leo kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKT Tanzania, Uongozi wa klabu hiyo umesema hawatarudia makosa yaliyojitokeza misimu mitatu...
COASTAL UNION YAISHUKURU SIMBA SUALA LA LAEMCK LAWI
BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu kuhusiana na usajili wa mchezaji, Lameck Lawi, imeamuliwa nyota huyo ataitumikia timu yake ya zamani, Coastal Union, imefahamika.
Lawi...
SAKATA LA KAGOMA NA YANGA UKWELI NI HUU.
KLABU YA YANGA na Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara, wamewasilisha nyaraka mbili muhimu kwenye shauri linaloendelea la kimkataba kati yao na Mchezaji Yusuph...
FREDDY ATEMWA USM ALGER…ARUDI YANGA
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuichezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima...