Tag: Simba SC
YANGA YAMSAMEHE MCHEZAJI WA SIMBA
USAJILI wa kiungo Yusuph Kagoma ulikuwa na sintofahamu mwanzoni, kabla ya kutambulishwa rasmi na Simba kama mchezaji wao halali.
Awali kulikuwa na Taarifa za kwamba...
BEKI WA ZAMANI SIMBA…ATUA BAROKA YA AFRIKA KUSINI
ALIYEWAHI kuwa beki wa Simba SC na Coastal Union Abdi Banda amerejea katika kikosi cha Baroka cha Afrika Kusini alichokitumikia akitokea Richards Bay.
Nyota huyo...
SIMBA, YANGA, JKT QUEENS KUCHUANA NGAO YA JAMII
MASHINDANO ya kuwania Ngao ya Jamii kwa Wanawake yamepangwa kufanyika kuanzia Septemba 24 hadi 27, mwaka huu kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es...
FADLU ATAMBULISHA MFUMO MPYA SIMBA…MAALUM KWAAJILI YA KUWAUA WALIBYA
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids kwa siku za karibuni amekuwa akiwapa wachezaji wake mbinu katika mfumo mpya ambao anataka wawe wanapiga mashuti ya nguvu...
SIMBA VS JKT TANZANIA KUCHEZWA BILA MASHABIKI
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amesema mcheZo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa Jumamosi,...
SIMBA WAJIBU MAPIGO KUHUSU TUZO ZAO ZA MWEZI
BAADA ya Fadlu Davids kuchaguliwa kuwa kocha bora ndani ya Agosti 2024 na Jean Ahoua kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa Agosti, uongozi wa Simba...
SIMBA YAJIFUA KUWAMALIZA WALIBYA…NGOMA AONGEZA MZUKA
KIUNGO wa Simmba Fabrice Ngoma amerejea nchini kuungana na wachezaji wenzake, uongozi wa Simba umesema unaendelea na mikakati ili kuhakikisha wanaiondoa Al Ahly Tripoli...
ALI KAMWE AWAVAA SIMBA…NENDENI KWENU BUNJU
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amewajibu baadhi ya mashabiki wa Klabu wa Simba wanaosema kwamba Yanga wamekwenda kufanya ushirikina kwenye uwanja...
FADLU DAVIDS AWAPA NENO MABEKI WAKE.
KOCHA Mkuu wa Simba Fadlu Davids ameuzungumzia ubora wa mabeki wake wa kati, Che Malone Fondoh, Chamou Karaboue, Hussein Kazi na haswa Abdulrazack Hamza.
Fadlu...
KARIAKOO DABI YAPELEKWA MKAPA…NI TAREHE 19 OKTOBA
Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu msimu huu baina ya Simba na Yanga iliyopangwa kuchezwa Oktoba 19 katika Uwanja wa KMC Complex,...