Tag: Simba SC
MASKINI SHEVA HKO NDIPO ALIPO SASA
KOCHA Mkuu wa Mbuni, Leonard Budeba amesema, licha ya kikosi hicho kufanya usajili bora kwa msimu huu ila moja ya nyota anayempa matumaini makubwa...
KICHUYA AWATAJA BALUA NA CHASAMBI SIMBA
WINGA wa JKT Tanzania, Shiza Kichuya amesema zama alizokuwa nazo za ubora kwa sasa zimeisha na anawaona Ladack Chasambi na Edwin Balua wanaokipiga Simba...
HII NDIO SIMBA TUNAYOITAKA…WAARABU WAKUBALI MZIKI WA MNYAMA
Hii ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiingβoa Al Ahli Tripoli ya Libya...
FEISAL…DUBE NI MCHEZAJI MZURI…AWATULIZA YANGA
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga na sasa Azam FC, Feisal Salum βFei Totoβ ameibuka na kumkingia kifua nyota huyo.
Licha ya kumtetea kukosa nafasi...
MIGUEL GAMONDI ATUMA SALAMU SIMBA NA AZAM…ANZA NA KENGOLD
WAANCHI Yanga usiku wa jana ilikuwa visiwani Zanzibar kumalizana na CBE SA ya Ethiopia katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya Ligi...
FADLU AAPA KUWAMALIZA WALIBYA…MASHABIKI WAONYWA
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema kwa mchezo wa leo hawana kitu kingine cha kufanya zaidi ya kushinda na kufuzu makundi.
Fadlu amebainisha, watatumia...
MNYAMA NA KARATA YA MWISHO LEO KIMATAIFA…AL AHLI WAINGIA UBARIDI
Mnyama Simba anatupa karata muhimu leo akihitaji ushindi wa aina yoyote dhidiΒ ya Al Ahli Tripoli ili itinge hatua ya makundi ya Kombe la...
AZAM FC WAIPELEKA SIMBA ZENJI
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya Simba uliopangwa kufanyika Septemba 26, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa...
ALI KAMWE…HATUJAZOEA GOLI MOJA…TUNA TIMU BORA
YANGA inashuka dimbani leo kucheza mchezo wa raundi ya pili kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya CBE ya Ethiopia.
Mchezo huo...
KAULI YA AHMED ALLY YATHIBITISHA USAJILI WA MPANZU
Winga wa zamani wa AS Vita Club Ellie Mpanzu yuko nchini kukamilisha taratibu za usajili wake na Simba, imefahamika.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa...