Tag: Simba SC
AHMED ALLY AZIPA MBINU SIMBA NA YANGA CAF
Simba na Yanga zikiwa na mchezo wa raundi ya pili katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, kocha mkuu wa JKT...
KENNEDY JUMA AFUNGUKA MAZITO SINGINDA BS
NAHODHA wa Singida Black Stars, Kennedy Juma amesema licha ya ugumu na ushindani uliopo katika Ligi Kuu Bara lakini wamepambana na kuongoza ligi ikiwemo...
KISA FEISAL MSENEGAL AMNYOSHEA MIKOMA…HATAKI AENDE SIMBA&YANGA
BEKI wa kushoto wa Azam FC Msenegal, Cheikh Sidibe amesema hakuna mchezaji asiyetamani kucheza na kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kutokana...
SIMBA WADHAMIRIA MAKUBWA KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwenye anga la kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika hawataki kuishia hatua ya pili bali malengo ni kuona...
4G ZA AZAM UJUMBE TOSHA KWA SIMBA
BAADA ya ushindi wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara mbele ya KMC, Septemba 19 2024 uongozi wa Azam FC umeweka wazi kuwa hizo...
KITAKACHOIPELEKA YANGA MAKUNDI CAF NI HIKI HAPA
Wakati Simba wakifanikiwa kucheza hatua ya makundi ya michuano ya CAF mara tano katika misimu sita iliyopita, wenzao Yanga ndani ya muda huo wametinga...
RALLY BWALYA AWAPA SIRI SIMBA…KUIMALIZA AL AHLI
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids anaamini wachezaji wake wanaweza kufanya vyema katika mchezo huo wa maamuzi dhidi ya Al Ahli Tripoli.
“Itakuwa mechi tofauti...
MECHI YA SIMBA VS AL AHLI REKODI ZINAMBEBA MNYAMA
Katika misimu sita iliyopita, Simba walikuwa na rekodi ya kuvutia wakiwa nyumbani katika michezo ya maamuzi kabla ya kutinga makundi ya Ligi ya Mabingwa...
SIMBA NA YANGA WANA JAMBO LAO WIKIENDI HII.
WIKIENDI hii Yanga na Simba zina mechi za kuamua hatma zao katika michuano ya kimataifa kila mmoja akipambania rekodi zake.
Wakati wakipambania rekodi, kuna matumaini...
IMEFICHUKA MPANZU AFICHWA HOTELINI NA SIMBA…MO DEWJI AHUSIKA
WAKATI Simba inaendelea kujipanga kuwang’oa Waarabu wa Libya Al Ahli Tripoli, mabosi wa klabu hiyo wana akili nyingine kubwa na bilionea Mohammed Dewji ‘MO’...