Tag: Simba SC
RAIS WA CAF ASHANGAZWA NA SIMBA…ALAHLI KUKIONA CHA MOTO
Kabla hata barua ya malalamiko ya Klabu ya Simba haijaanza kufanyiwa kazi, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe, ameagiza...
MAAJABU YA ATEBA SIMBA…SIFA ZAKE NI HIZI
Leo tunaangazia kuhusu Leonel Ateba, mshambuliaji mpya wa Simba SC, ambaye ni raia wa Cameroon.
Ateba amejiunga na timu hiyo baada ya kuachana na USM...
FADLU ASEMA BADO HAIJAISHA…ANAWATAKA MASHABIKI KWA MPAKA
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, amesema bado hawajamaliza kazi ya kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika na wanatakiwa...
AL AHLI WAINGIA UOGA…WAKODI ULINZI MZITO
KATIKA hali isiyo ya kawaida, wapinzani wa Simba, Al Ahli Tripoli wamekodi walinzi binafsi ‘bodyguards’ kwa ajili ya kuwalinda wachezaji pamoja na benchi la...
BREAKING NEWS…FEI TOTO AIKATAA AZAM…AZIINGIZA VITANI SIMBA NA YANGA
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) amepiga chini ofa ya pili kutoka Azam ambayo ilimtaka kuongeza mkataba mpya.
Kwa sasa Fei...
KUMNUNUA FEI TOTO NI BIL 1.3…SIMBA, YANGA ZAPIGANA VIKUMBO
SIKU za hivi karibuni kumeibuka taarifa za mchezaji wa Azam FC Feisal Salum Fei Toto, kuhitajika na vilabu vikubwa ndani na nje ya nchi...
MKUDE AKANA KUMROGA AUCHO KISA NAMBA
KIUNGO wa Yanga Jonas Mkude maarufu kama Nungunungu amefunguka na kusema kwamba, yeye kama mchezaji hajawahi kumroga mchezaji mwenzake Mganda Khaled Aucho.
Mkude aliyesajiliwa na...
FADLU AMTAJA ATEBA KUHUSIKA KUWAMALIZA WAARABU JPILI
Simba imewashtukia Waarabu kutokana na kuizuia kupata bao lolote, kisha wenyewe kuzipiga uwanjani na kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids akasisitiza anataka ushindi wa...
MAREFA WA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA NI HAWA
Marefa kutoka Guinea na Mauritania ndio wamepangwa kuchezesha mechi za nyumbani za wawakilishi wa Tanzania, Simba na Yanga katika mechi zao za marudiano za...
MWAMNYETO AKUBALI KUHITAJIKA SIMBA
NAHODHA wa Yanga SC Bakari Mwamnyeto amethibitisha kuwa ni kweli klabu ya Simba SC ilimuhitaji kumsajili kwaajili ya kujiunga na kikosi chao katika msimu...