Home Tags Soka la bongo

Tag: soka la bongo

VIINGILIO VYA IHEFU vs YANGA HIVI HAPA

0
Baada ya siku 309 tangu Yanga ifungwe na Ihefu mabao 2-1 Novemba 29 uwanja wa Highland Estate ulipo Mbarali mkoani Mbeya na kuharibu Unbeaten...

LICHA YA SIMBA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI ROBERTINHO AWAJIA JUU WACHEZAJI

0
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba wanatinga hatua ya makundi wakiwa hawana furaha mashabiki, huku Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akiweka wazi kuwa...

SINGIDA YA KIMATAIFA NJE YA DIMBA

0
Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika...

SIMBA IMESHAKUWA JANGA MO DEWJI AOGOPA KUFA KWA PRESHA

0
Baada ya Simba kufanikiwa kufanikiwa kufuzu kwa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya...

SIMBA, YANGA KUKIPIGA KUNDI MOJA CAFCL

0
Tanzania imeweka historia kwa mara ya kwanza timu zake mbili kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hii ni baada ya mapacha...

SABABU ZA JKT KUSHINDWA KUTAMBA ZAWEKWA WAZI

0
Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema sababu kubwa ya timu hiyo kushindwa kutamba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera...

SIMBA WATINGA MAKUNDI KWA MBINDE

0
Wekundu wa Msimbazi Simba SC kwa mara nyingine katika Uwanja wa Chamazi Complex Jijini Dar es Salaam wanaonesha ukubwa wao wakikata tiketi ya kutinga...

AZAM NA SIMBA MAJI YA SHINGO

0
Hadi sasa wanachokifanya Yanga Sc tangu kuanza kwa msimu huu wa mashindano mbalimbali unaweza ukaona kama ni bahati kwa jicho la kishabiki ila kiuhalisia...

PRINCE DUBE NJE YA DIMBA, KISA HIKI HAPA

0
Mshambuliaji hatari wa Azam FC, Prince Dube anatarajia kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Dodoma Jiji FC utakaopigwa Oktoba 3 kutokana...

MASTAA SIMBA WAJIVIKA MABOMU KUMALIZANA NA POWER DYNAMO

0
Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, amewapa majukumu mazito viungo wa timu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS