Home Tags Soka

Tag: soka

KOSA LA SIMBA LILIKUWA HAPA DHIDI YA AL AHLY

1
Mpira ni mchezo wa makosa hilo lipo wazi na ilikuwa hivyo kwenye mchezo wa ufunguzi wa Afrinca Football League kati ya Simba dhidi ya...

SIMBA HAKUNA MUDA WA KUPOTEZA MO AWEKA BILIONI 1 KUIUWA AL...

0
TAJIRI na mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ na jopo lake, wamewawekea mezaji wachezaji Sh1 bilioni ili waitoe Al Ahly kwenye michuano ya Africa...

SARE YA SIMBA vs AL AHLY YAMUIBUA MSIGWA AFUNGUKA KUHUSU GOLI...

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza kuwa mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahly ya Misri hauna goli...

MASHABIKI SIMBA WAMUANGUKIA KIBU

0
Jitihada kubwa za kulisakama lango la Al Ahly katika mchezo wa jana zilikuwa zaidi miguuni mwa mshambuliaji Kibu Denis aliyefunga bao la kusawazisha. Ulikuwa mchezo...

MWAMBA HUYU HAPA ALIYEBADILISHA MCHEZO SIMBA vs AL AHLY

0
Sadio Kanoute Putin mimi napenda kumuita Midfielder Dynamo. To be honest kipindi cha pili kijana kabadilisha mchezo mzima.....kwanza kaongeza kasi ya mchezo,fujo kwenye pressing na...

MECHI YA YANGA YAAHIRISHWA

0
Mchezo wa Kirafiki kati ya Yanga na Mlandege uliopangwa kuchezwa leo saa 03:30 asubuhi huko Avic Town umeahirishwa. Kwa mujibu wa taarifa Yanga waliomba mchezo...

MASTAA WATAKAO IUA AL AHLY WAWEKWA WAZI SIMBA

0
Uongiozi wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo...

UHALISIA WA MANARA NA SOKA LA TANZANIA

0
Simba na Yanga walikuwa na Hajis Manara lakini kwa sasa anatumikia adhabu ya kifungo alichopewa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania "TFF". Mtu akiniuliza...

SIMBA YATOA AHADI HII MECHI YA LEO AFL

0
Saa chache kabla ya kushuka dimbani, Simba SC imesema leo Ijumaa (Oktoba 20) itadhihirisha ukubwa wake kwa mashabiki wa soka Duniani kwa kuifunga Al...

MCHAMBUZI AMPA USHAURI HUU ROBERTINHO LEO DHIDI YA AL AHLY

0
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Salama Ngale amesema kuwa safu ya kiungo ya Klabu ya Simba bado inapwaya hivyo kocha wao, Robertinho anapaswa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS