ONYANGO: KAHATA KANILETA SIMBA SC

0
 KITASA kipya cha Simba, Joash Onyango raia wa Kenya, amefunguka kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Francis Kahata ndiye aliyemleta klabuni hapo kutokana na...

NONGA ARUDISHA MKWANJA NAMUNGO

0
 PAUL Nonga, nyota mpya wa Gwambina FC inayonolewa na Fulgence Novatus, ilimlazimu arudishe nauli kwa mabosi wa Namungo ambao walikuwa wanahitaji saini yake. Nyota huyo...

BREAKING: MUGALO ATUA SIMBA AKITOKEA POWER DYNAMO YA ZAMBIA

0
 CRIS Mugalo mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Power Dynamo ya Zambia, leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Simba.Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili...

HAJI MANARA ATANGAZA KUSTAAFU, “NIPO SIMBA ILA NITAPUMZIKA KIDOGO “…

0
 KLABU ya soka ya Simba, leo Agosti 16, wamefanya dua maalumu ya kuombea timu yao baada ya kuwa na msimu wenye mafanikio makubwa... 

KOCHA MKUU WA SIMBA ATUA NCHINI LEO

0
 Sven Vandenbroeck Kocha Mkuu wa Simba ndani ya ardhi ya Bongo Agosti 16 kuendelea kukinoa kikosi hicho.Kocha huyo raia wa Ubelgiji msimu wa 2019/20...

IBRAHIM AME ATAMBULISHWA SIMBA, ASAINI MIAKA MIWILI

0
 IBRAHIM Ame beki aliyekuwa akikipiga Coastal Union leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Klabu ya Simba.Ame amesaini dili la miaka miwili kuongeza nguvu ndani...

UZI MPYA WA AZAM FC HUU HAPA

0
 AZAM FC leo Agosti 16 wamezindua uzi wao mpya kwa ajili ya msimu wa 2020/21. Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka...

JEMBE LINGINE LINALOTAJWA KUMALIZANA NA SIMBA HILI HAPA

0
 CRISS Mugalu raia wa Congo anayekipiga ndani ya Klabu ya Power Dynamo ya Zambia inaelezwa kuwa amemalizana na Simba. Mugalu anatajwa kumalizana na Simba...

JEMBE LA YANGA LATUA NAMUNGO FC

0
 JAFFARY Mohamed rasta aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Yanga ameibukia Namungo FC baada ya kuachwa na Yanga. Nyota huyo ambaye ni kiraka amesaini...

SHARAF SHIBOUB ATAJWA KUINGIA ANGA ZA YANGA,NDANI YA SIMBA PANGA LINAMHUSU

0
 SHARAF Shiboub,  kiungo wa Simba aliyeibuka ndani ya kikosi hicho akitokea Sudan, shujaa wa mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC anatajwa...