YANGA YAIPIGIA MATIZI YA MWISHO POLISI TANZANIA
KIKOSI cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi...
ISHU YA MABAO, MUANGOLA WA YANGA ATAJWA KUWA TATIZO NDANI YA YANGA
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ameanza na safu ya ushambuliaji katika program zake za mazoezi ili kuhakikisha anapunguza ukame wa mabao...
KMC YAHAMISHIA NGUVU KWA YANGA, MWANZA
BAADA ya Klabu ya KMC kugawana pointi mojamoja na Klabu ya Ruvu Shooting, jana Oktoba 20 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja...
SIMBA KAMILI GADO KUMALIZANA NA TANZANIA PRISONS
PATRICK Rweyemamu, Meneja wa Klabu ya Simba amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa Uwanja wa...
KIRAKA WA PRISONS KIMENYA MDOGOMDOGO ANAREJEA KWENYE UBORA
SALUM Kimenya, kiraka wa timu ya Tanzania Prisons amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri jambo analomshukuru Mungu.Kimenya anasumbuliwa na nyama za misuli jambo ambalo...
PETR CECH AREJEA CHELSEA
KIPA wa zamani wa Arsenal na Chelsea, Petr Cech amerejea tena kwenye timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa ni mshauri kwenye masuala ya...
YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA WAO
BAADA ya kimya kutanda kwa muda mrefu, hatimaye Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kuachana na aliyekuwa kocha wa viungo wa timu hiyo, Msauz,...
KAZE SIO MALAIKA, KILA MMOJA LINAMHUSU
Anaandika Saleh Jembe WATU hawapendi kuelezwa ukweli zaidi ya yale maneno matamu ambayo yanakuwa ni kupakana mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa.Ukweli unajenga na ukweli...
DAVID KISSU AWEKA REKODI YAKE BONGO
DAVID Kissu Mapingano kipa namba moja wa Azam FC ameweka rekodi ya kuwa kinara wa clean sheet ndani ya Ligi Kuu Bara Bara msimu...
MOLINGA NYOTA WA ZAMANI WA YANGA AANZA MAZOEZI ZESCO
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Yanga, David Molinga ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Zesco ambayo amejiunga nayo msimu huu wa 2020/21.Molinga...