KIKOSI cha nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta kitakachoshuka uwanja wa Taifa Juni 2 kumenyana na kikosi cha mshambuliaji wa Coastal Union na mwana bongofleva, Ally Kiba ‘KingKiba’.
Juma Kaseja – KMC
Kelvin John- Serengeti Boys
Kelvin Yondan- Yanga
Shomari Kapombe- Simba
Himid Mao-Petrojet
Erasto Nyoni-Simba
Haruna Moshi- Yanga
Shaban Chilunda- Tennerife
Thomas Ulimwengu- JS Saoura
Mrisho Ngassa- Yanga
Farid Mussa – Tennerife
Athuman Idd- Coastal Union
Amri Kiemba- amestaafu
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.