LATEST ARTICLES

BENCHIKHA ABEBA WINGA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

BENCHIKHA TULISTAHILI USHINDI

0
benchikha afunguka yaliyotokea botswana baada ya kulazimishwa sare na wenyeji wao katika michuano ya caf

KOCHA WYDAD HALI SI SHWARI TENA

0
Uongozi wa Klabu ya Wydad Ac ya Morocco muda wowote unaweza kumfuta kazi kocha wao Mkuu Adel Ramzi. Taarifa inathibitisha kuwa muda wowote kuanzia Sasa...

CHAMPIONSHIP MUAMUZI AZUA GUMZO…ISHU IKO HIVI

0
Mwamuzi wa kati Selugwani Shija ameleta gumzo kwenye Ligi ya Championship jana katika mchezo kati ya Biashara United ya Maea dhidi ya Mbeya City...

JINSI PACOME ALIVYOINUSURU YANGA KWENYE HATARI YA WARABU

0
Yanga imeondoka na pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...

SIMBA NA MZIMU WA SARE ULIOKITA MIZIZI MSIMBAZI

0
Mzimu wa sare umeendelea kuiandama Simba baada ya jana Jumamosi (Desemba 2, 2023) kushindwa kutamba katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya...

YANGA SC YAJITAFUTA YAIBANA AL AHLY DAR…..PACOME MTU SANA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Meridianbet

MACHESTER CITY DHIDI YA TOTTENHAM NOTO UTAWAKA…

0
Jumapili hii itapigwa mechi ya kiume sana pale katika dimba la Etihad ambapo klabu ya Manchester City itakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Tottenham Hotspurs...
Mashabiki wa Simba na Yanga

YANGA SIMBA HAKUNA KUZUBAA KIMATAIFA

0
Simba na Yanga zinapaswa kupambana hadi tone la mwisho la damu leo katika mechi zao za raundi ya pili ya hatua ya makundi ya...

UNAAMBIWA YANGA WAMESHASAHAU MATOKEO YA ALGERIA

0
Nahodha wa Yanga, Bakar Mwamnyeto amesema wamesahau matokeo ya Algeria na leo ni kazi moja tu kuhakikisha timu hiyo inapata ushindi. “Sisi kama wachezaji tumejipanga...