admin
TANDIKA JAMVI LAKO LA USHINDI NA MERIDIANBET LEO..ODDS ZA USHINDI HIZI...
Meridianbet wanakwambia kuwa siku ya leo unaweza ukabadilisha maisha yako yako kwa kubashiri mechi zote zinazoendelea hapa. Mechi za ligi mbalimbali zinaendelea hivyo usiipuuzie...
MERIDIANBET WAMKARIBISHA IMOON, KULETA MAPINDUZI YA MICHEZO YA KASINO MTANDAONI
Meridianbet wamezidi kuthibitisha ubora wao kama vinara wa michezo ya mtandaoni kwa kutambulisha rasmi mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino, iMoon Gaming.
Ujio wa...
MILIKI GARI YA NDOTO YAKO NA MERIDIANBET…ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Huku wikendi ikiendelea kuwa ya moto, wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa unaweza kumiliki gari ya ndoto yako kwa kubashiri hapa pekee kwani...
HUU HAPA ‘MLIMA WA MIIBA’ WA SINGIDA BS CAF MSIMU HUU…WAKIPITA...
NI wazi kuwa Singida Black Stars ambayo kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake miaka tisa iliyopita wakati huo ikiitwa Ihefu SC, ina mlima...
HIZI SAA 24 ZA MOTO NDANI YA LIGI KUU YA NBC...
MASHABIKI wa soka nchini, wanatarajiwa kuendelea kupata uhondo wa Ligi Kuu Bara inayorejea baada ya kusimama kwa muda, huku kukiwa na vita nzito ya...
KUHUSU TUZO ZA CAF….MZIZE AWAPIGIA MAGOTI MASHABIKI YANGA….NIPIGIENI KURA JAMANI….
MSHAMBULIAJI nyota wa Yanga aliyefanyiwa upasuaji wa goti na kumfanya awe nje kwa muda mrefu, Clement Mzize amelizungumzia bao alilowatungua TP Mazembe katika makundi...
LIGI KUU NBC:…SIMBA, YANGA KUTOKA KWA STAILI ZA KIBABE WEEKEND HII….
WEKUNDU wa Msimbazi Simba na watani zao Yanga wanarudi Uwanjani Jumamosi na Jumapili katika michezo ya Ligi Kuu baada ya mara ya mwisho kutoka...
KELVIN JOHN TENA…..AKIZINGUA NA HAPA NDIO BASI …
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Miguel Gamondi, ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoingia kambini kujiandaa na mchezo wa...
‘MBAPPE’ WA AZAM FC MAMBO NI ‘FULL NONDO’…..
BAADA ya kuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili akiuguza majeraha ya goti, kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Cheickna Diakite ‘Mbappe’ amerejea mazoezini...
BURUDIKA NA MSISIMKO WA HALLOWEEN UKICHEZA GATES OF HALLOWEEN…
Msimu huu wa Halloween, Meridianbet wanakualika kuingia katika sherehe ya ushindi na msisimko kupitia mchezo wao wa kipekee wa Gates of Halloween. Hii ni...









