Kocha Wa Makombe Manqoba Mngqithi Atua Jangwani
BAADA ya Yanga kumtambulisha rasmi kocha mkuu mpya, Manqoba Mngqithi, kuelekea msimu wa 2026/27, klabu hiyo inatarajiwa kutangaza nyongeza nyingine katika benchi lake la ufundi…
BAADA ya Yanga kumtambulisha rasmi kocha mkuu mpya, Manqoba Mngqithi, kuelekea msimu wa 2026/27, klabu hiyo inatarajiwa kutangaza nyongeza nyingine katika benchi lake la ufundi…
LOS ANGELES, MAREKANI: Beki wa Ubelgiji, Zeno Debast, amejikuta katikati ya mvutano mkubwa kati ya timu yake ya taifa na klabu yake ya Sporting Lisbon,…
Katika dunia ambayo kila siku huleta ubunifu mpya, kuna furaha ya kipekee inayopatikana pale unapokuwa wa kwanza kugundua kitu kabla hakijawa gumzo la kila mtu.…
BAADA ya Zanzibar kuwa wenyeji wa mashindano ya mchezo wa Kabaddi Afrika, shirikisho la mchezo huo kisiwani hapa limesema hiyo itakuwa fursa kushiriki mashindano ya…
BOSTON, MAREKANI: KYLIAN Mbappe ameiongoza Ufaransa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kufunga bao katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi…
BAADA ya Yanga kuonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Singida Black Stars, Amos Nduhumwe, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Muhibu Kanu, amesema kuondoka kwa nyota…
Badala ya kuangalia hisia na historia, hebu tuangalie ukweli wa uwanjani. Hispania wameingia robo fainali wakiwa na rekodi ya kipekee mabao sifuri yaliyofungwa katika mechi…
DROO ya hatua ya makundi ya michuano ya CECAFA Kagame Cup 2026 imezikutanisha vigogo wa Tanzania, Simba SC na Singida Black Stars, ambao wamepangwa pamoja…
KLABU ya Simba imebadili mkakati wa maandalizi ya msimu wa 2026/27 kwa kuamua kutofanya kambi maalumu ya maandalizi (pre-season) nje ya nchi, badala yake ikipeleka…
KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker, anaonekana kuwazidi kete watani wao Yanga katika mbio za kumsajili winga wa Shekhukhune United ya Afrika Kusini, Keletso Makgalwa,…