FT:YANGA SC 2-0 MBEYA CITY…..MAYELE AFANYA KILICHOMSHINDA BOCCO…YANGA KAMA ARSENAL TU…

0
KLABU ya Yanga imeendelea kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara mara baada ya kufanikiwa kuichapa Mbeya City mabao 2-0 na kuwafanya...

WORLD CUP: ALIYESHANGILIA KAMA RONALDO MBELE YAKE AFUNGUKA SABABU YA KUFANYA HIVYO..

0
Mshambulizi wa Ghana Osman Bukari anasema hakumdharau Cristiano Ronaldo alipoigiza shangwe ya bao la nyota huyo wa Ureno baada ya kufunga bao dhidi yao...

PAMOJA NA NGEBE ZA ‘UNBEATEN’…YANGA WAFUNIKWA NA SIMBA KWENYE MKWANJA…TAKWIMU HIZI HAPA…

0
Kama kuitika basi waliitika kwenye Uwanja wa Liti mjini hapa. Mashabiki waliojitokeza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida Big Stars dhidi...

KAMA HUNA DEGREE YA CHUO KIKUU …SAHAU UBOSI NDANI YA SIMBA…

0
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba, Boniface Lyamwike leo amewatangazia Wanachama wa Simba, Wapenzi na Mashabiki kwamba tarehe ya uchaguzi wa Simba ni 29...

KIPYENGA KIMELIA SIMBA….MABOSI WAPYA KUPATIKANA MWAKANI…RATIBA KAMILI IKO HIVI…

0
Kamati ya Uchaguzi wa Klabu ya Simba imetangaza rasmi kufanyika uchaguzi wake mkuu Januari 29 mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

YANGA MPOO….?…NABI ATAKA MAMBO KAMA YA SIMBA HUKO….PLUIJM APIGWA NA BUTWAA…

0
Baada ya kuiongoza Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji, kocha wa kikosi hicho Nasreddine Nabi ameanza kuipigia hesabu Mbeya...

WAKATI LIGI IKIENDELEA LEO…MANULA AZIDI KUMFUNIKA DIARRA KWA UBORA…TAKWIMU HIZI HAPA…

0
WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikitimiza raundi ya 13, winga wa Azam FC, Ayoub Lyanga ndiye anayeongoza kwa kutoa pasi nyingi za mabao akiwa...

BAADA YA KUONA MBEYA CITY WAMEWEZA…POLISI TZ WAAMUA KUINGIA NA STAILI HII DHIDI YA...

0
UONGOZI wa Polisi Tanzania umetambulisha kampeni yake mpya ya ‘Lazima Utoe Ushirika' katika michezo yao ya Ligi Kuu Bara watakayochezea kwenye Uwanja wa Ushirika...

BAADA YA ‘KUIGAGADUA’ NAMUNGO…AZAM FC MACHO YOTE ‘KODO’ KWA COSTAL UNION…

0
BAADA ya kumalizana na Namungo ugenini sasa kikosi cha Azam FC kinafanya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union. Chini...

BOCCO: MENGINE NI ZIADA TU….TIMU KUSAIDIWA NDIO KIPAUMBELE..

0
Baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’ kwenye ushindi 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting juzi, Nahodha John Bocco amesema kitu cha kwanza ni kuisaidia...