KUMBE KWENYE KUNDI ZIMA YANGA NDIO KIBONDE
Mchambuzi nguli wa masuala ya Soka Alex Ngereza kutoka TV3 amesema kuwa Klabu ya Yanga ndiyo wanaonekana vibonde kwenye kundi lao la michuano ya...
WEKA MKEKA NA MERIDIANBET WIKIENDI HII USHINDE…..
Nafasi ya kua mshindi na kupiga mikwanja wikiendi hii ipo Meridianbet baada ya ligi mbalimbali kurejea ni wazi wewe mteja wa Meridianbet unaweza kuweka...
MABOSI YANGA WATUMIA JEURI YA PESA KUIANGUSHA AL AHLY
Kamati ya Mashindano ya Klabu ya Young Africans imeweka mpango mkakati wa kuipeleka klabu hiyo Hatua ya Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika,...
HAPA NAPO PANAHITAJI AKIBA YA MANENO
Wikiendi hii Ligi ya Championship inaingia katika raundi ya 13 ambapo zitabakia raundi mbili tu ili nusu ya kwanza imalizike na baada ya hapo...
SIMBA HUYU NI MTU SIO MALAIKA…. MSIJIJAZE UPEPO
Pengine sasa nafasi za Wanasimba zitatulia baada ya ujio wa kocha Abdelhak Benchikha kutoka Algeria ambaye msimu uliopita aliipa USM Alger taji la Kombe...
YANGA ISIWACHUKULIE POA AL AHLY
Wale Al Ahly hawajaisha kihiiivyo kama ambavyo watu hapa kwetu wanaaminishana wakati huu ambao mechi yao dhidi ya Yanga inakaribia kupigwa kesho Kwa Mkapa.
Tatizo...
BENCHIKHA AWATULIZA MASTAA ISHU YA UWANJA FRESH
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI ALIAMSHA AKATAA UTARATIBU HUU WA VIONGOZI WA YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Miguel Gamondi amepinga utaratibu wa uongozi wa Klabu ya Yanga kuzipa majina ya wachezaji wao, mechi zao za nyumbani...
AL AHLY WAIKATAA YANGA MCHANA KWEUPEEEEE
Mchezaji wa Al Ahly, Ali Maâloul amesema kuwa hawakuwa wanaijua Yanga SC, lakini walivyoingia hatua ya Makundi ndiyo wakaanza kuifuatilia.
Nyota huyo raia wa Tunisia...
AL AHLY WAIPIGA MKWARA MZITO YANGA,GAMONDI APEWA TAMKO HILI
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Barani Afrika Al Ahly Marcel Koller ameliambia amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho Jumamosi (Desemba...