SIMBA YABEBA KILA KITU WAISHIA MAKOFI

0
SIMBA SC wamehitimisha kwa kishindo michuano ya Kombe la Muungano, si tu kwa kutwaa ubingwa bali pia kwa kutikisa jukwaa la tuzo kwa kuvuna...

BAO LA MWISHO LAWAVUNJA MOYO MASHABIKI, SIMBA WATAMBA

0
SIMBA imetwaa ubingwa wa Kombe la Muungano baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Yanga katika fainali iliyopigwa Uwanja wa...

MERIDIANBET YATOA MSAADA WENYE USTAWI MWANANYAMALA

0
Wakati hospitali nyingi zikikabiliana na ugumu wa mahitaji ya kila siku ya wagonjwa, wakati mwingine vitu vidogo ndivyo vinavyobadilisha hali nzima ya mgonjwa. Hilo ndilo...

KUTOKA NAFASI YA 14 HADI USALAMA, DILUNGA AAMINI INAWEZEKANA

0
WAKATI Kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga akiweka wazi mkakati wa kuirejesha timu hiyo kwenye ubora wake, kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga ameongeza hamasa...

DUKE, DAMARO, MAX WABEBA NDOTO ZA YANGA FAINALI

0
MSEMAJI wa Yanga, Ali Kamwe, amesema kikosi chao kimejipanga kikamilifu kwa fainali ya Kombe la Muungano kufuatia kauli ya Meneja wa Idara ya Habari...

DUKE ABUYA AWAIBUA WAKONGWE

0
INGAWA jina la kiungo wa Yanga, Duke Abuya haliimbwi mara kwa mara na mashabiki, lakini kuna mafundi wa mpira wa miguu wakongwe wameona anachokifanya...

JULIO AICHIMBA MKWARA MBEYA CITY

0
KOCHA wa Mashujaa, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameichimbia mkwara mzito Mbeya City, akisisitiza kikosi chake kimejipanga kikamilifu kuondoka na pointi tatu dhidi yao. Kauli ya Julio...

NI SIMEONE VS ARTETA LEO, NANI KUONDOKA NA POINTI

0
Ni Simeone vs Arteta Jumatano hii kwenye mbinu kali za kuamua matokeo ya mechi ya mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa hatua ya...

SHAKHTAR KUPOTEZA MAMILIONI SAKATA LA DAWA HARAMU YA MUDRYK

0
DONETSK, UKRAINE: KLABU ya Shakhtar Donetsk inatarajiwa kupoteza kiasi cha Pauni 26 milioni kutokana na sakata la matumizi ya dawa haramu michezoni linalomkabili mchezaji wao...

SIMEONE ATHIBITISHA ALVAREZ KUWANIWA NA ARSENAL, PSG NA BARCELONA

0
MADRID, HISPANIA: KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone amethibitisha kuwa Arsenal ni miongoni mwa klabu zinazomuwania mshambuliaji wao, Julian Alvarez. Simeone alitoa kauli hiyo kabla ya...