ATLETICO, ARSENAL MECHI YA KUVIZIANA UEFA CL

0
MADRID, HISPANIA: Leo Atletico Madrid wataikaribisha Arsenal katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali wa Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaochezwa kwenye Uwanja wa Riyadh Air...

SIMBA YAANZA VITA MPYA SOKONI KUMTAFUTA MRITHI WA CHAMA

0
MENEJA  wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema uongozi wa klabu hiyo unatambua kwa kina changamoto iliyopo katika kikosi,...

SIMBA AWAVURUGA YANGA AKILINI, DABI YA MEI 3 YAWANYIMA USINGIZI

0
LICHA ya kuwa na kibarua kigumu leo katika fainali ya Kombe la Muungano dhidi ya Simba, Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji, amesema...

NI DAKIKA 90 TU, MKENYA AAMUA NANI MBABE

0
HATMA  ya Simba na Yanga sasa ipo mikononi mwa mwamuzi kutoka Kenya, Dickes Mimisa Nyagrowa, atakayesimamia fainali ya Kombe la Muungano inayosubiriwa kwa hamu...

STOCK TRADE KUTOA FURSA MPYA KWA VIJANA KUPIGA PESA KIDIGITALI

0
Kama wewe ni kijana unayetafuta burudani yenye nafasi ya kushinda pesa, basi Meridianbet wamekuja na kitu kipya kinachoitwa Stock Trade. Huu ni ujuzi unaokuweka...

KAULI NZITO YA MANGUNGU YAIPA SIMBA MORALI KUBWA

0
KUELEKEA mchezo wa fainali ya kombe la Muungano kesho Visiwani Zanzibar,  Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesisitiza hadhi ya kikosi chao hakin...

YANGA WAINGIA KIKATILI, BURUDANI KWA MASHABIKI, MAUMIVU KWA WAPINZNI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Gonçalves, ameweka wazi dhamira ya kikosi chake kuelekea mchezo wa fainali kwa kusisitiza kuwa malengo waliyojiwekea tangu mwanzo wa...

SIMBA WAPAMBANA NA KIVULI CHA VIPIGO VYA ZAMANI

0
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema timu yao inaingia kwenye fainali ya Kombe la Muungano ikiwa na presha...

VITA YA UBINGWA YAZIDI KUWAKA, YANGA WAJIPANGA KIMKAKATI

0
MENEJA wa kikosi cha Yanga, Walter Harrison amesema kuwa wamewasili Zanzibar wakiwa na lengo moja kuu la kutetea ubingwa wao wa Kombe la Muungano...

YANGA KUWAKOSA WAWILI DABI

0
WAKATI presha ya mchezo wa Kariakoo Dabi kwenye Fainali ya Kombe la Muungano ikizidi kupanda, benchi la ufundi la Yanga limetaja wachezaji wawili watakaowakosa. Yanga...